Six pack ya Shilole

Six pack ya Shilole

Ilo tumbo tofauti na body yake, akija Ali gain zaidi itakuaje?
 
Madhara ya Kula sana viporo vya ugali hayo.. ila matumbo kama hayo ndo yenyewe 6*6 mtoto inabidi awe na nyama kiasi sio mwemvamba mifupa yote nje nimekua fisi.
 
walioenda kwenye show wameonjoy,wakutype kwenye keyboard wanaponda,mtakufa huku mmekumbatia button ya shut down
 
Kupenda sifa sana nako kunapoteza! Ina mana hajielewi kama ana mtumbo au anaona kawaida? Aaah
 
kweli umbeya sunna! haya mkimmaliza huyo, nichambueni na mimi!
 
tumbo limekaa kama matuta yani ukipanda maindi yanaota
 
Back
Top Bottom