herrypeter1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2009
- 223
- 29
Ilikuwa ni katika kuchati chati FACEBOOK ndo nilipo weza kuwa connected na mdada mmoja jina Kapuni anayeishi kimanga,
Katika mawasiliano tukapeana namba mdada akaitaji tuonane, siku zikaenda nikaonana na mdada maeneo ya kimanga, stori yake Mwanzo ilikuwa ivi "Yupo anaishi na mama yake na mtoto mmoja ambaye anasema alitelekezwa na mwanaume".
Dada siku ya pili akataka kuja home kushinda, Nikampiga fix natoka Sipo home, Mara akanimbia anaomba kuniona ana shida na mimi kwenda anaanza kueleza mtoto wake yuko dodoma amepigiwa simu na mama yake kuwa mtoto wake yupo atarini na anaitaji nimsadie nauli aende akamfuate mtoto wake, uku akisahau kuwa aliniambia anaishi na mtoto wake na mama yake.
Mwisho wa siku Watu Wote Muwe Makini na Mapenzi ya FACEBOOK msije mkaleta Majambazi Majumbani Mwenu. Kwani naisi imeanza sasa kama kuwa ni mbinu kwa wezi.