Nampenda tatizo namuogopa

Nampenda tatizo namuogopa

Kijana mbona unaleta masyara katikati ya utani,yaani mtoto mpaka anaitikia wito,yaani kwa wazee wa mipira iliyokufa pale ilikuwa ni gori tu.Kitendo kukubali kuja pindi unapomwita iyo ni hatua kubwa sana.....kaisha uyo wewe fumba macho tu,umeze kiwembe.
 
nitumie namba yake na ya kwako PM pamoja na majina yenu niwaunganishe......
 
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?

Pole. Unapaswa kujiamini tu hakuna dawa nyingine. Kumbuka tu kuwa mwanamke ameumbwa kutongozwa na wala kwa kufanya hivyo hakuna hatari yeyote. Usiogope jibu wala usimuogope yeye maana mwenzio kila siku anatongozwa na suala la nini amkubalie lipo mikononi mwake. Kamwage sera, acha uoga usio na maana! Kama unshindwa kabisa mpigie hata simu, lol!
 
Usikute huyo bi dada alishakupenda siku nyingi, anasubiri tu nawe ujitutumue useme neno moja tu kuwa unampenda...
Hivyo jiamini hakuna kingine. ..
 
kama ela kakukopesha hata penzi utakopeshwa tu.
 
masanzu ngoja nikupe story niliyoisoma zamani kidogo.

Juma alikuwa kijana mtanashati sana. Mabinti wengi wa kijiji cha Chekereni walimpenda, lakini Juma hakujua ni jinsi gani aseme. Kati ya mabinti hao alikuwepo msichana mrembo sana Juliet. Juma alimpenda sana Juliet ila kama kawaida hakuwa na ujasiri wa kumwambia.

Siku moja akaenda kwa mganga kijijini kwao ili ampe dawa ya kumfanya apate ujasiri wa kuongea na Juliet. Mganga akampa dawa, akamwambia ipake mkononi kisha nenda kaongee naye. Juma alichukua dawa na kwenda kuongea na Juliet. Walikubaliana na harusi kubwa ikafanyika kijijini kwao. Baada ya harus Juma akaenda kwa mganga kumshukuru. Mganga akamwambia.."mwanangu, sikukupa dawa yoyote yale yalikuwa ni majivu tu, nilichofanya ni kukupa ujasiri.". **story imeishia hapo**.

chukua like mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ndio sababu ya kutoacha nyeto..yaani mishe za kumtongoza mtoto wa kike ni shughur pevu.naona isiwe shida...nawaachaga na papuch zao.Mazima
 
Wewe nawe umezidi udomo zege,kama huwez kumwambia face 2 face si umtumie message. Acha udhumbukuku.
 
Yaani umepata ujasiri wa kumkopa demu lkn umekosa ujasiri wa kumtongoza!!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom