Recent content by MARIJANI

  1. MARIJANI

    channel mpya dar es salaam ya channel 1(viasat1) yaanza vipindi rasmi jioni hii

    Naona imeanza kitofauti,, Wakati wengine huanza na miziki mfululizo hii ni movies... Asante kwa taarifa....
  2. MARIJANI

    walimu tuache utan jaman

    tutapata misonge yakutosha ila sasa huko kwenye ufanisi......
  3. MARIJANI

    Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

    Hii ni criminal case namba ngapi jamani...
  4. MARIJANI

    Nicholas E. Mgaya amjibu JK

    nadhani sasa tuna pakuanzia hawa wamejinga kama nilivyotarajia.
  5. MARIJANI

    Dr.Slaa ajibu hoja mbalimbali na kueleza Sera za CHADEMA hapa JF

    Mheshmiwa Dr. Slaa swali langu, naomba kujua washirika wenu ktk siasa za tanzania kwa upande wa ZNZ maana pamoja na kukubalika huku bara vilivyo hali ni tofauti kwa upande wa visiwani. Na hata ktk safu yenu ya ungozi sio kama kuna sura za kuonyesha muungano naomba uniweke sawa kuhusia na hili...
  6. MARIJANI

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Ni full time ipi unayomaanisha? kama hujui kuwa alizidiwa AR basi usiseme full time, na kuhusu kuzidiwa mara kwa mara nadhani umethibitisha matukio ww mwenyewe. Hebu nipe Raisi mwingine aliyepatwa na masahibu kama hayo ktk historia ya Tz na maraisi watatu waliomtangulia.
  7. MARIJANI

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Mkuu hivyo ndivyo ilivyo kujiuzulu hua kunamuondolea heshma fulani mteuzi kama huna khabari ndio maana wakati mwingine mteuzi huwa anakataa maombi ya kujiuzulu ili asipatwe na aibu hiyo. Hivi kama JK angekubali maombi yote ya waliotaka kujiuzulu leo hii wangekua wamemuabisha wangapi? Kujiuzulu...
  8. MARIJANI

    Mama Maria Ikulu Leo - No Comment!

    Absolutely right.!!
  9. MARIJANI

    Mwaweza kuninukuu.. You can quote me!

    no haya ni maono!!!!!!!!! Mkuuu m.m
  10. MARIJANI

    Neno fasaha ni lipi kati ya hairisha na ahirisha?

    Sina uhakika wa kutosha lakini nadhani neno sahihi ni "ahirisha" kama kuna wadadavuzi wa lugha nadhani watatuweka sawa maana naona kama bado tunaongea kwa kuhisia tuu.
  11. MARIJANI

    Sheria mpya ya madini wadau mpooo?

    Tanzania imepoteza rasilimali ya madini nyingi na mapato mengi huku umasikini wa wananchi ukiongezeka. Sasa sheria Mpya ya madini inakuja Bungeni tarehe 19 na 20 April 2010 kwa hati ya dharura ambayo wabunge wanatakiwa kujadili na kupitisha siku hiyo hiyo! Tunauliza, kwanini hati ya Dharura bila...
  12. MARIJANI

    Kikwete to announce stimulus for economy

    Naweza sema tunaongozwa na NSYUKA hawa watu hawana tofauti na pepo NSYUKA yaani mtu alieinadi kwa nguvu na kuitetea pale bungeni huku akicheka kumbe alikua anatucheka sisi wadanganyika hii ni hatari. Sasa tushamjua lakini je wote tunaona? au wengine ndo mimacho vidondaa? Lakini kama huyu mtetezi...
  13. MARIJANI

    Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

    Heshma kivipi mkuu? sema ni utaratibu wa pekee labda nao bado sio maana ni kitu cha kuiga tweke wazi acha porojo maana hazijengi kitu tueleze uhusiano wa siwa na hoja bungeni au siwa na spika. Au siwa na miongozo kama hamna tukubali tu kuwa siwa ni alama ya kuiga na haina msaada wowote wala...
Back
Top Bottom