Recent content by Maria Nyamhanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

    Huyo aliekwenda na pressure nadhani hata over weight inatokana na stress!!! Vp tabia zako?!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Yani wewe ni kichwa sana sana ukiacha mambo yako ya kuweka mabebs fb usingepoteza mwelekeo na watu kukupuuza.. Mh akupendelee hata ka ukuu ka wilaya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Hawakumbuki umaskini uliokuwepo alipowatoa babu zetu ktk ukoloni... mlitaka ashushiwe utajiri awape?! Amejitahidi ili japo na wewe umekuta rasilimali, sivyo ungesoma ktk history tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchakachua mtungi wa Gesi

    Ww exp..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule kwa ajili ya binti yangu

    Baobab ni nzuri sana, na ipo kidini sana na kielimu japo hawabagui ila islamic wanapewa kipaumbele. .mapinga b/ moyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Line za Tigiopesa, M pesa na Airtel money zinauzwa

    Nahitaji mpesa na airtell money
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba

    Mmmmh si useme tu kuchoropoa?! Kuavya ni kilugha au?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfunza mtoto mdogo kuongea vizuri

    Hata wangu ana mwaka na miezi mi 5 anaongea hivyo hivyo na sina hofu,kwani bado muda wake ataongea tu..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    Hawa si watoto watoto wenzie jamani.. Labda mchumba kamibua humu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Najitahidi kuweka inagoma,ila naendelea kujaribu tena.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Asante kwa kunisahihisha.. si unajua tena wengine r r nyingi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Baada ya kumkataa mtoto wake aliemzaa na Raffaella.. siku ya birthday ya mtoto huyo wa kike anaeitwa PIA amekabidhiwa zawadi kwa baba mwingine atakaendeleza malezi pamoja na mama wamtoto.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Kwa hiyo ulikuwa unakwenda shule, ukirudi mnakulana sivyo!? Kama ni kweli wewe sichana mwenzangu ni katili wa kutupwa!kumbuka unaimuita mshamba ndye aliyekutoa ujinga. Na baada ya kujitambua unakubali vyake vya nini? Nenda mwanakwenda.
Back
Top Bottom