mjuba101 Senior Member Joined Oct 24, 2013 Posts 159 Reaction score 65 Jan 5, 2014 Thread starter #21 Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi... Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi... Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
G gody5m Senior Member Joined Jun 14, 2011 Posts 111 Reaction score 65 Jan 6, 2014 #22 Ha ha ha ha ha ha nilijua lazima upigiwe tu njaa zitaja tuua wabongo
M Maria Nyamhanga Senior Member Joined Jun 14, 2011 Posts 130 Reaction score 25 Jan 6, 2014 #23 Ww exp..
N nosocomial JF-Expert Member Joined Dec 6, 2013 Posts 404 Reaction score 45 Jan 6, 2014 #24 Kifoo chaja achana nao!!!!!
CHALII TZ Member Joined Oct 5, 2013 Posts 75 Reaction score 15 Jan 6, 2014 #26 Ungenyoosha maelezo tu, useme unauza gec!!
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jan 6, 2014 #27 Mimi mwenyewe nilikua nasubirh f.bck za wadau namie nikutwangie
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jan 6, 2014 #28 Hahahaha! Wabongo kwa vibwerere! !
mtamanyali JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,161 Reaction score 616 Jan 6, 2014 #29 jamani mtafuteni huyo jamaa mimi nimeongea nae na tumeshachakachua mtungi wangu sasa ninapika mwanzo mwisho.
jamani mtafuteni huyo jamaa mimi nimeongea nae na tumeshachakachua mtungi wangu sasa ninapika mwanzo mwisho.
jesse alibalio JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 268 Reaction score 49 Jan 6, 2014 #30 Hiyo namba haipatikani.
S Sadness Senior Member Joined Dec 20, 2013 Posts 124 Reaction score 33 Jan 7, 2014 #31 Unahatari sana.
kiipwi Member Joined Apr 30, 2013 Posts 66 Reaction score 22 Jan 11, 2014 #32 Pambaffff... 😡😡
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,963 Jan 12, 2014 #33 Uchumi mgumu unawapa watu brain.
Vocco Member Joined Dec 21, 2013 Posts 36 Reaction score 2 Jan 12, 2014 #34 TAnzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wotee Nchi yangu Tanzania.... ....
M makita g Member Joined Jan 3, 2014 Posts 39 Reaction score 12 Jan 12, 2014 #35 Jamaa noma mpaka kwenye gesi tena huyo anaweza kuchakachua watu tusile chakula tutumie hewa atusaidie hili tuwe matajiri
Jamaa noma mpaka kwenye gesi tena huyo anaweza kuchakachua watu tusile chakula tutumie hewa atusaidie hili tuwe matajiri
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,177 Reaction score 734 Jan 12, 2014 #36 uchifike ntwara kwetu, uchije chakachua na gechi yetu buree...
B bonta Member Joined Jan 15, 2014 Posts 41 Reaction score 1 Jan 16, 2014 #38 kama kawaida wabongo wazee wa vais vesa
Senior Lecturer Senior Member Joined Jan 19, 2013 Posts 177 Reaction score 74 Jan 16, 2014 #39 Mimi nimeipiga hiyo namba nikaskia maneno haya: "samahani, mteja unaempigia na yeye anakupigia!"