Jinsi ya kumfunza mtoto mdogo kuongea vizuri

Kuwa na subira
1.4 ni mdogo unataka kumharakishia wapi

Sawa mkuu...nashukuru kwa maoni yako
Naomba unisaidie na hili hivi ki kawaida umri wa kawaida wa mtoto wa kiume kuanza kuongea huwa ni kuanzia miaka mingapi..
 
Mlete Kwa wazaramo huku, Hata nyimbo za diamond ataanza kuimba.
 
punguza uharaka
wa kiume hata miaka 3 anafika bila kujua kuongea full sentensi
cha msingi msiweke ndani,atoke nje acheze na wenzie ataongea vema tu.
kama anajua kutamka neno moja moja na anjua majina ya vitu inatosha huna haja kuogopa
 
Kwa mtoto wa kiume bado sana, angekuwa wa kike labda ndo ungeanza kujiuliza, watoto wa kiume wanachelewa kuanza kuongea compare na watoto wa kike so hupaswi kuwa na wasiwasi

ahaaaaaa kumbe ndo maana mwanamke wastani kwa siku anaongea maneno 6000, wakati mwanaume anaongea wastani wa maneno 2000!

Ukija kwenye kushushua sasa ndo noumer ni kama lara 1 leo alivyokomaa kutetea thread yake!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe umesoma nini hapa? Halafu usidhani kila mtu anakunywa viroba kama wewe! Mi mwenyewe mwanangu ana umri kama huo na hajui kuongea zaidi ya hiyo tetete baba toka npe lakini sina presha sasa wewe zombi mdogo naona unataka kubishana na Mungu muumba mmezeshe betri basi mwanao ili aende sawa na radio.

Acha uzombi wewe ulianza kuongea ukiwa na umri gani? Kama unaona anachelewa uwe unampeleka kwenye rusha roho akeshe huko atawahi kuongea. Kwa kifupi siamini kama hili ni swali

Kwani ugomvi mkuu..si tunaelezana vizuri tu na kistarabu..na kama hukupenda uzi kulikua na haja gani ya kumaliza nguvu zako na kilobytes zako kwenye kuchangia.
Naona upo kishali shali sana username yako inadhibitisha hili..
All in all nashukuru ntayafanyia kazi maoni yako
 
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky

Watoto wa kiume huchelewa kuongea hasa wakiwa "geti kali"...

Ila 1.4 years old bado mdogo sana.

Huyo bado hajatambua hata rangi, vitu n.k.

Mimi nina kidume kina 2.8...anakumbuka majina ya magari vizuriii utamsikia Nissan, Honda, Mitsubishi, Pajero, Toyota, n.k

Akiona tangazo kwenye TV anakumbuka...

TV anatamka "pembii", three "pii", five "paivu"...kuhesabu 1-10 anasahau 4 au 5....nikitamka na yeye kurudia anafika mpaka 20+

Nimemnunulia vitu vya kuchezea...mfano daftari la rangi....njano, blu, nyekundu, chungwa, na kijani....anakumbuka zote isipokuwa "kijani" kila dakika anauliza "baba hii rangi gani"? Inaonekana haipendi CCM hahhahahahahaha....

Bado kuna maneno mengine akitamka siyaelewi ila mama yake anaelewa kwakuwa wanashinda pamoja muda mwingi.
 
Kwa mtoto wa kiume bado sana, angekuwa wa kike labda ndo ungeanza kujiuliza, watoto wa kiume wanachelewa kuanza kuongea compare na watoto wa kike so hupaswi kuwa na wasiwasi

Hii ndio nimejifunza leo..basi mi nikajua watoto wote uongea katika umri mmoja..kumbe kuna tofauti kati ya wakike na kiume...
Nashukuru sana kwa kunielemisha....
 
Watoto wa kiume huchelewa kuongea hasa wakiwa "geti kali"...

Ila 1.4 years old bado mdogo sana.

Huyo bado hajatambua hata rangi, vitu n.k.

Mimi nina kidume kina 2.8...anakumbuka majina ya magari vizuriii utamsikia Nissan, Honda, Mitsubishi, Pajero, Toyota, n.k

Akiona tangazo kwenye TV anakumbuka...

TV anatamka "pembii", three "pii", five "paivu"...kuhesabu 1-10 anasahau 4 au 5....nikitamka na yeye kurudia anafika mpaka 20+

Nimemnunulia vitu vya kuchezea...mfano daftari la rangi....njano, blu, nyekundu, chungwa, na kijani....anakumbuka zote isipokuwa "kijani" kila dakika anauliza "baba hii rangi gani"? Inaonekana haipendi CCM hahhahahahahaha....

Bado kuna maneno mengine akitamka siyaelewi ila mama yake anaelewa kwakuwa wanashinda pamoja muda mwingi.

Sa huyu wa kwangu neno analojua ni "acha" sijui kwa sababu kila sasa lazima aambiwe neno hili maana ni bingwa wa kuvuluga vitu kwenye kabati au dressing table ya mama ake..
Ila ukimwambia afanye kitu anakusikia na anafanya labda umwambie niletee kitu flani analeta kwa mfano anajua ni simu gani ya mama ake na hipi ni yangu hata zikiita anajua hipi ampelekee mama ake na hipi aniletee mimi..
 
Watoto wa kiume huchelewa kuongea hasa wakiwa "geti kali"...

Ila 1.4 years old bado mdogo sana.

Huyo bado hajatambua hata rangi, vitu n.k.

Mimi nina kidume kina 2.8...anakumbuka majina ya magari vizuriii utamsikia Nissan, Honda, Mitsubishi, Pajero, Toyota, n.k

Akiona tangazo kwenye TV anakumbuka...

TV anatamka "pembii", three "pii", five "paivu"...kuhesabu 1-10 anasahau 4 au 5....nikitamka na yeye kurudia anafika mpaka 20+

Nimemnunulia vitu vya kuchezea...mfano daftari la rangi....njano, blu, nyekundu, chungwa, na kijani....anakumbuka zote isipokuwa "kijani" kila dakika anauliza "baba hii rangi gani"? Inaonekana haipendi CCM hahhahahahahaha....

Bado kuna maneno mengine akitamka siyaelewi ila mama yake anaelewa kwakuwa wanashinda pamoja muda mwingi.

Interesting......
 
punguza uharaka
wa kiume hata miaka 3 anafika bila kujua kuongea full sentensi
cha msingi msiweke ndani,atoke nje acheze na wenzie ataongea vema tu.
kama anajua kutamka neno moja moja na anjua majina ya vitu inatosha huna haja kuogopa

Mkuu kikawaida mtoto wa kiume huwa anaanza kuongea kuanzia miaka mingapi...
 
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky

huyo wako ni mdogo ila akikua-kua...jitahidi kumsemesha kwa lugha na matamshi fasaha ili aweze jifunza toka kwako...sio akiita taaata na wewe taaata ...huko sio kumpenda bali ni kumlemaza na lugha mbaya..mrekebishe n
a hakikisha anatamka maneno sawia
 
mtoto wangu ni wa kike ana mwaka mmoja na nusu. anatamka vizuri maneno machache. Ila anaelewa kila kitu. ukimtuma akalete kitu fulani anakwenda kuleta. Akishika chombo cha udongo anakuwa makini zaidi. Alikuwa ananywea maji chombo cha plastiki kuniona baba yake kila siku na glass naye anataka. Tumemtafutia glass ndogo nzuri anaipenda halafu mwangalifu kweli.

Kali zaidi ni kuhusu simu. anajua zipi ni simu za mama yake na zipi za baba yake. siku moja mi nilikuwa nje nikaacha simu chumba changu cha kusomea. mama yake akaenda kuchukua simu yangu akajificha mahali aipekue. dogo akaona akalia kweli anaing`ang`ania hadi mama yake akachemka. dogo akaja nayo mbio nje akanipa. mama yake mission yake ya kuniFBI ikafail. watoto wanaleta raha.
 
Mlete Kwa wazaramo huku, Hata nyimbo za diamond ataanza kuimba.

Nimecheka sana ndg yangu,,,! Inaonekana kwa lyf style ya hao ndugu mtoto anaweza kuongea hata akiwa na 2wks!!
 
Mtaftie acheze na watoto wengine at least waliomzidi umri kidogo or mahali wanapoweza kujichanganya...mtoto wa kiume huwa anachelewa ula na mazingira yanaweza yakamfanya azidi kuchelewa mfano kama anacheza peke yake kwenye geti 24/7 unategemea when will he pick up the words ndo maana watoto wa uswazi wanawahi kuongea kuliko watoto wa geti PROVED
Mtoto wangu yupo alone na mimi na dada wa nyumbani tu. Nimesafiri nimekuja kwenye watoto I can see jinsi gani upweke una mu affect. Nikirudi home I will change this.
 
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky

mtoto wako ana condition inaitwa AUTISM
 
Mtoto wangu yupo alone na mimi na dada wa nyumbani tu. Nimesafiri nimekuja kwenye watoto I can see jinsi gani upweke una mu affect. Nikirudi home I will change this.

Mimi mwanangu wa kike hadi anafika miaka miwili na nusu alikua anaongea kwa mawenge sababu ya kutojichanganya nikaamua nimpeleka shule baby class wananchi wengi walinikosoa kwamba ni mdogo baada ya miez mitatu alikua anaongea kuliko waliomzid miez na nikaona majiran wengi wanamuulizia wife details za shule anayosoma,kumpeleka shule mapema inasaidia sana
 
Back
Top Bottom