Asante mkuu nitajaribu maana na mm pia nina hilo tatizo ila huwa naenda kupima baada ya miezi mitano afu cjaoa pia sina girlfriend.. Huwa kwa week nafanya mara nne au tano With differents girls
Mkipewa offer hamtaki pia mkiwekwa ATM mnalalamika sasa kumbe mnataka nini.... We nipe iyo namba kwanza mm nafuta watu wakuchat nao saa 6 ucku mpaka alfajir...
Iv bado unasubir kutongozw tu..? Nahic utakua bado ndo unaingia form 4 au 5 coz cku iz hakunaga cha mtongozo tunakwenda kw hisia tu... af pia cku iz cio enzi zilee mpaka boy atoe sound ila cku iz ata kike ukizidiwa na jamaa unatoa sound kw hisia jamaa.... Nyie mnao subir kutongozw ndo mana huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.