tetee
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 789
- 866
Ni kama wakristo madhehebu mbalimbali, wasabato, katoliki n.kMkuu hebu fafanua vzr, ni iman moja kvp wanaamin ktk nn?
Ni kama wakristo madhehebu mbalimbali, wasabato, katoliki n.kMkuu hebu fafanua vzr, ni iman moja kvp wanaamin ktk nn?
Ni vinyago vya kufikirika tuMkuu hao Budda ni viumbe vilivyowahi kuishi kama wanadamu au wao waliumbwa hivyo hivyo mkuu? fafanua kidogo mkuu
Na mm pia unitag mkuu maana huwa napenda sana lakini huwa cjui nianze vpiHapa nitakupa jibu lisilotosha kuna mada zake ngoja takutag
Another contradiction is here...kwao Buddha ni inspirational figure ni mwalimu mkubwa (shifu/master)kiongozi, wanakataa kumuabudu ila kiuhalisia wanamwabudu.. .ni waabudu sanamu Buddhism inapotoka kuwa phylosophia na kuwa imani
Wana ibada pia za ajabu linapokuja swala la imani...ikiwemo ibada ya utajirisho kwa kuchoma pesa live lakini kwa siri
Kuna mtu alinipigia simu, anaongea harakaharaka kama kameza kaa la moto, eti kumbe Bujibuji ni porn star..........Hii ndio avatar iliyozoeleka kaka
Ukishiriki kwenye hizo Ibada nawe unajiconect kwenye ulimwengu wa Roho wa hizo makituNani alimfunulia Buddha chanzo cha human suffering?Sasa mbona human suffering inaendelea tu mpaka leo wakati Buddha alishafunuliwa chanzo chake,kwanini hakukitokomeza hicho chanzo/kwanini buddhists wasikitokomeze hicho chanzo?
Hapa ninapoishi kuna binti mmoja mbuddha ni mrembo kweli,huwa ananialika sana niende kwenye ma temple yao ya buddhism lakini naogopa isije ikawa kama secret societies,kula viapo vya membership mpaka kifo!
Unaposoma maandiko ya Buddhism kuna mabudda wa aina mbalimbali
Kuna
Sakyamuni Buddha(Sidharta Goutama) Buddha mkuu![]()
Kuan ing pusa(Buddha with a thousand hands![]()
Milefo (future Buddha)![]()
Ni kama aina fulani hivi kama ya utatu mtakatifu kwenye imani za kikristo...hivyo ndani ya Buddhism wanaamini katika ujio wa budha mwingine ambaye atakuja baada ya kalpa kadhaa(kalpa moja ni sawa na ukubwa wa jiwe la maili tano limogolewe kipande kidogo kila baada ya miaka mitano hata liishe)
Ukiichunguza sana hii dhana ya Milefo(Buddha ajaye)haina tofauti na dhana ya ujio wa Kristo kwenye imani za kikristo
Hakuna imani inayokosa utata na huu ni utata kwenye Buddhism pamoja na kujinasibu kusimama kwenye uhalisia na nafsi
Tuna watu wa kuvutika na mafundisho fulani, sio jambo baya jifunze lakini mwisho wa siku baki na msimamo wako mmoja! Hakuna dini inayokosa utata hakuna imani inayokosa ukakasi, ukiwa mtu wa kurukaruka utaishia kuchanganyikiwa
Future buddha/milefo/happy budha ni kitu cha kufikirika...Kalpa pia ni kitu cha kufikirika, jifunze haya mambo penye utata achana napo pasikuzuie kusoma ya mbeleni