Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza

Iv bado unasubir kutongozw tu..? Nahic utakua bado ndo unaingia form 4 au 5 coz cku iz hakunaga cha mtongozo tunakwenda kw hisia tu... af pia cku iz cio enzi zilee mpaka boy atoe sound ila cku iz ata kike ukizidiwa na jamaa unatoa sound kw hisia jamaa.... Nyie mnao subir kutongozw ndo mana huwa hamna bahat coz utakua umesha mzimikia jamaa ila et aibu sasa subir mwezio asie kuwa na aibu aje uone...
 
Hivi dogo form four ulishamaliza? Au ulivyohama nchi shule hukuendelea nayo!
 
Duh. Wanaume wote wa Tanzania wamekutongoza ndo umekuja na hii conclusion au ume-generalize from one or two of your experiences?
 
Kwani wanatongozaje? Mi nahonga tu

Mi nakumbuka siku ya kwanza binti alitaka ndizi mbivu nikamnunulia mbili akala tukaondoka
mara nyingine nilitoa chipsi firigisi kwa binti mwingine nikabeba mzigo,
ya tatu chipsi kuku na soda kwa student mmoja nikang'oa mzigo
ya nne nililipia chumba, nikamnunulia godoro na kitanda basi ikawa nikitoka job lazima nipitie kusalimia
sasa hivi nimetoa vitz kwa binti mmoja aliyetoka U-Dom najilia kama nimeoa

Tatizo Magufuli kaharibu mambo humu katikati.....nyegy zote zimekata
 
Wakatongoza wanaongea uongo uongo mbaya ukigundulka unaachwa, mwingine anatongoza huku anakuita mdogo wangu au dada.

Sasa angekuwa dada yako au mdogo ako ungemtongoza? Kama mdogo wako kwanini unitongoze, kukosa adabu.

Hivi siku hizi kuna kutongoza kweli? Maana wanawake mmekuwa rahisi sana, hata raha ya kutongoza haipo tena. Maana kabla hata hujaomba, umeshapewa.
 
Weee hujakutana tu na wenye fani zao, kuna watongozaji wazuri hapa nchini usiombe! Tena wengi tu ...mtu anakutazama tu kwanza macho yake yanaongea kila kitu, anakwambia "mambo" kwa sauti nzito flani hivi ya kubembeleza, halafu anaongea .. dakika 10 hazifiki unatoa namba ya simu. Hehehe
Ukifika home ndio unagutuka 'damn! Nimempaje namba mtu simfahamu k' lol !!!
 
umevurugwa wew c bure,kunywa Maji alafu kaa fikiria mara3!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
1)Umezaliwa kwa mama ambae alipigwa vesi na mshua mtanzania akamkubalia wakakuzaa,je huyu babako c mtanzania?hajui kutongoza?Bila tongozo hiyo ungekuwepo?

2)Najua wew c bikira na ninaamini mapenzi unayajua na ushagafanya xana na wanaume hata zaidi ya wa3,swali je hawa uliwatongoza wewe?na kama uliwatongoza wew umeathirika?ni mzima kichwan na kimwili?na kama n mzima je huwa unatabia ya kupanga foleni usiku unasbria magari ya mabosi?

3)Je wanaume wote walioa na na boys wa kitanzania wenye wapenz wao mikoa tofauti uliwatongozea wewe?

Ushauri;
siku nyingine acha kuropoka,uliza ni tofauti ya Utofauti wa kifikira kwa mwanadamu(individual differences) na mazingira ya tabia zao!!!na ukimaliza uhitimishe uzi wako kwa kusema kuwa

"Wanaume baadhi wanaowatongoza marafiki zangu hawajui kutongoza au baadhi ya wanaume wanitongozao hawajui kutongoza" coz uzi wako unaonyesha kabisa kutongoza unajua na tatizo ni vile utakavyo wewe utongozwe ndo wakufatao hawajui hvyo wafundishe au andika bango LA matangazo ili mwanaume yyte wakitanzania akija ajipange!!!mbavu zako pumba tupu!!!!na hii ni kwa ajili yako wew na marafiki zako walokutuma utudhalilishe wanaume marijali wakitanzania embu pm nikupige swaga za majaribio tuone ka hautontafta
Mpaka kutiririka namna hii ujue mtu huyu kaguswa na hii issue, mkuu hawa siku hizi hawatongozwi kutongozwa ushapitwa na wakati, ni kuomba appointment tu mkikutana unaenda kula mzigo.
 
Huyo anayekutongoza naye kakosa kazi, wakati mambo ya kutongozana sikuhizi hayapo, siku hizi unauliza ratiba imekaaje akikwambia yupo free w'end basi unamualika dinner hotel kali their after dinner na vinywaji kadhaa mnaenda kupumzika.
 
ha ha haha umewalinganisha na wanaume wa nchi gani vile?
 
Hivi hadi leo kuna watu wanapoteza mda kwa ajili ya kutongoza?? Kweli kila mtu ana njia yake ya kufika anakokutaka
 
Hey nimekumisiiii! Sasa hivi si utakuwa pro aisee!!!
 
Kagari ni tongozo tosha kabisa hapa bongo.
 
Back
Top Bottom