Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 585
- Thread starter
- #21
Mtoto yupo kwa mama angu..binti anaendelea na shule,,nimeshaoa mwanamke mwingine.Kwahiyo D ya kiswahili ndio inakufanya usijue tofauti ya "jera" na "jela".
Kizazi chenu mlihudhuria shule lakini bure kabisa.
Kila jambo lina matokeo yake aidha yawe chamya au hasi.
Sasa huyo binti inabidi umuoe; umeeleza mengi lakini hujaeleza chochote kuhusu mtoto.