Duh! Kumbe Nyoka anazaa watoto wengi namna hii

Ally Ngowo

Member
Feb 24, 2015
86
19
d06e7b901f27e0b0f0199821a3f4fe4e.jpg
 
Hivi mayai yanatotolewa au ndio kuzaa kwenyewe

Hao wengine wa rangi tofauti ni ndugu zao pia?
 
Sijui kwanini nimefungua hii picha aiseeee....
mbaya zaidi nipo bed ndio najiandaa lala
 
Ni kweli mkuu hata mm ninawafuga ni jamii hii wanataga mayai 200_260 kwa kweli ni raha na ni mfugo usio na shifa pia kitoweo chake ni safi
 
Ni kweli mkuu hata mm ninawafuga ni jamii hii wanataga mayai 200_260 kwa kweli ni raha na ni mfugo usio na shifa pia kitoweo chake ni safi

Mh, mifugo yote iliyopo ukachagua nyoka??
Dah!
 
Back
Top Bottom