Recent content by Marandura

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sony ericson

    Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie nina shida ya kufungua inbox sms kwenye simu ya sony ericson P990i. Kila nikifungua inanipa ujumbe wa "APLICATION CLOSED" reason code 130.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Na kuna mtoto wa SALIMU AHMED SALIMU (alikuwa rais wa znz) alimaliza depo lake hapa CCP trh 30/3/2012 aliingia na cheti cha urubani
  3. M

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu shule ya machame girls

    Karibu moshi binti kama ukiitaji kampani un pm kwani hata mm nipo hapa mo-town. Nyc study!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ebu shangaa kikwenu tuone

    Kibo cha ndesi!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda

    Nilisema zaidi ya 500 hiyo ni kadilio la chini zinaweza kuzidi zaidi ya hapo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda

    Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Abiria wenzangu wanasema ni ajali wamemleta mwenzao hospitali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda

    Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Mm nimepita na gari nimeshindwa kusimama sababu kuna watu wengi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania kama napigaaaa!

    Njia imefunga ww bora urudi ulipotoka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Lamborghin Gullardo

    Aka kachalii kumbe n kaongo iv?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr msaada jamani nna wasi wasi.

    Kijana ujui kuwa ma doctor tumegoma?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mpirani

    Ww ni kitumbua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Snow inavyofunika magari ulaya siku hizi

    Tukumbushe ile ya mafuriko
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne yatatangazwa live tbc1 saa 11!

    Duh! Umeua mkuu. Na huko Veta wanaitaji uwe Na "D" mbili.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitendaweli jamani? Tega nikutegue?

    mkulima
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ndugu zangu nini nifanye!

    Una pesa ngapi?
Back
Top Bottom