Kitendaweli jamani? Tega nikutegue? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendaweli jamani? Tega nikutegue?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Jamani nina Swali langu linaniumiza kichwa nimeulizwa Swali mpaka sas sijapata jibu kutoka akilini mwangu kuna watu wameniuliza swali lenyewe ni hli (Je Anayefaa kuitwa neno Mzazi ni baba Au Mama?) na ni kwanini aitwe Mzazi ?Nawaombeeni majibu toka kwenu ndugu zangu Mubarikiwe haya tena mchanga wa pwani huo mimi simooooooooo
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  housi gelo
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  umetegua vizuri,makofi jamani.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mumekosa wote wawili hahahahah makofii......
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Tuambie basi. Nikupe mji? Msata.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Sitaki mji wala kijiji nataka jibu Mkuu.
   
 7. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Anaezaa ndo mzazi, kwa hiyo kama baba naye anazaa then naye mzazi unless otherwise..lol
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo baba hawezi kuitwa Mzazi? kwa sababu hazai?kwani anayetoa mbegu ya uzazi ni nani?
   
 9. M

  Marandura Senior Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkulima
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mnataka kutushushia heshima sie wababa
   
 11. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama ulivyosema baba anaTOA mbegu wakati mama anaZAA. Hapo ni kama mkulima na muuza mbolea, hiki cheo cha kujiita mzazi nadhani wababa tunajipendelea kama wabunge wa JMT na posho.. :lol:
   
Loading...