msaada kuhusu shule ya machame girls

mariam22

Member
Feb 5, 2012
9
1
Habari! Naomba kwa anaye fahamu shule ya machame girls anieleze kuhusu mazingira yake ya kusoma ipo maeneo yapi na pia contacts zake ikiwezekana , naomba ushauri wenu juu ya kuenda shule hii asante
 
Machame Girls ipo Wilaya ya Hai, zamani enzi zetu ilikua inavuma sana na wasichana waliokua wanatoka huko walikua wapo juu sana kimasomo lkn kwa sasa hivi sina uhakika sana kama bado inavuma kama zamani miaka yetu!
 
machame ipo hai kama alivokupa details huyo jamaa unapita moshi kama unaenda arusha then unaingia ndani ndani makoa kwa mbele,

BOX 3043 Moshi

Mazingira ya shule mazuri na ya kusoma pia mazuri wewe tu, ila itaendelea kua shule ya gvt tegemea ugali na maharage kwenda mbele. Huduma za kiafya pia nzuri
 
Dah, nimetoka maeneo hayo miaka 17 iliyopita ila shule ni nzuri na mazingira pia (natumaini hadi sasa) nilikuwa shule moja ya boarding jirani na mara nyingi tulikuwa tukisali machame girls.
 
Karibu moshi binti kama ukiitaji kampani un pm kwani hata mm nipo hapa mo-town. Nyc study!!
 
Back
Top Bottom