Ushauri ndugu zangu nini nifanye! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri ndugu zangu nini nifanye!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Gabriela, Jan 30, 2012.

 1. G

  Gabriela Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hbr wana jf nina mtaji wakutosha nataka ninunue costa mpya(i mean used from our local yard) ili nianze biashara ya usafiri jijin dar.. Naomba ushaur na mawazo yenu ktk hili. Asanteni
   
 2. M

  Marandura Senior Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una pesa ngapi?
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hilo nalo wazo,ila pia unaweza ukaenda mikoani,utapata hadi magobore mawili kwa bei ya chini yatakayohitaji service na repair ya uhakika,utapanda taratiibu,na utapata faida zaidi,,,hayo ni maoni yangu...ukiyaingiza mjini utafanikiwa
   
Loading...