Nauza Lamborghin Gullardo

Bwana mi nasoma mwaka wa 5 sasa kwenye Ferrari high school ya modena(italy) na kiwanda cha lamborghini hakiko mbali sana na mwaka jana nimefanya field pale na tunasoma kuhusu haya super car, hio sio gallardo sababu gallardo ya mwaka 2009 haina exhaust moja kati kati maximum hio inaweza kua lamborghini murcelago lakini sio gallardo. Halafu lamborghini hana model inayoitwa "gullardo", anatengeneza model kama gallardo, murcelago, diablo, miura, reventon, aventador, urraco. Hio inaweza kua ya kichina. Nenda kaangalie kwenye google na angalia picha za model ya lamborghini gallardo.

Truth be told georgebest has his facts right.It is indeed a Lamborghini Murcielago and not Gallardo.Mmmmmh!!!Ngoja waje wanaoweza kununua,hapo naweza kuuza nyumba zote za mtaani kwetu na bado nisiweze kufua dafu.
 
HIYO ILIKUWA YA sheikh Omar Bakhressa,akaja Daudi mwana wa Mosha akainunua,naona naye imembana!!
 
Cc 6000, nimetumia 1 year and niya 2009 and bei ni 1.9 billion for more details email me on emilrama@gmail.com

We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...

Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...
 
Naona waungwana wote mikono juu. hakuna cha mimi natoa 1.5bn au 1.3bn kama unakubali tufanye biashara wala nini.
 
Mmmmh hiyo hata kama ukinipa bure ni sawa na kunirudisha kwenye mosto chombo ukikiwasha Ltr 20 zinakatika.
 
We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua
blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...

Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...
asante,
kuna siku katangaza anataka silver ya ukweli nikamletea kwa nusu bei kashindwa kununua.leo hii anatangaza anauza lamborghini ya 1.9 bilion?
duh watoto wamekuwa wengi sana jf siku hizi
 
We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...

Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...

You nailed the boy, hawezi kurudi tena! Na nimeshamuadd kwenye ignore list.:lock1:
 
Kashakimbia.
 
kuumbuliwa kubaya jamani.
 
hahah dah hii kweli noma kusema ukweli registration number sio ya 2009 kwani may 2009 ndo kwanza T--- AW- ndo zilikuwa ziko registered
then mbona hata picha yake haionekani
 
We mtoto lini utakua? Hiyo namba T....ARY ni ya mwaka 2007, sasa gari ya 2009 imeipataje hiyo namba?
Halafu wadanganye tusiokuijua. Emil unasoma CBE, na kazi yako ya kuuza simu humu, unanunua blackberries kwa bei chee kisha unaziuza kwa bei ya juu kuidogo, kama unabisha au kuna mtu anabisha fungueni jina lake msome post zake... Kuna blackberry 9700 nilikuuzia pale mlimani city kwa laki2 na themanini, ukaja na post humu unaiuza laki nne kamili, na mbwembwe nyiiingi eti umetoka nayo UK uliinunua kwenye kampuni ya three, wakati hayo maelezo nilikupa mimi wakati nakuuzia..
Hii ni forum ya watu na akili zao, wengine wanaweza kuwa wazazi wako...

Grow up na uache hype zako za kishule shule...
Kwa utaalamu wangu wa adobe, naweza kuedit picha yeyote ile ikaonekana ni real na wasiojua wakaamini. Lakini, who am I fooling!!! MY SELF...WORDS TO YOU MDOGO WANGU. Usipobadilika sasa hii tabia itakucoist sana maishani...
Ungebadili kwanza I'd basi ili iwe ngumu kukutrack... We unakaa mbezi analogue halaf unawadanganya watu hapa unaendesha lamboghini...wakati unakuja kununua bb 9700 bold ulikuja na 5 5...

Aka kachalii kumbe n kaongo iv?
 
hahahaha hata mimi nilijua kuwa mbwembwe maana alikuwa kama anatafta sifa mara naendesha hammer mara nini, hahaha hhalafu mtu mwenye pesa hawezi kuja humu eti anauza bberries used mara anatafta chen ya silver hahaha wewe umiliki gari kama hizo then ufanye biashara za kuunga unga.
 
Labda kahongwa mkuu.
 
Labda kahongwa mkuu.

Hahahaa, hawa watoto wetu sku hizi wanatamani sana vitu vya kwenye tv, ndy maana mabwabwa wameongezeka! Wew unafkir mtoto kama huyu akikutana na mende anataka kumpiga mashine ampe hata vitz atakataa? hahahahaa:A S 13:
 
asante,
kuna siku katangaza anataka silver ya ukweli nikamletea kwa nusu bei kashindwa kununua.leo hii anatangaza anauza lamborghini ya 1.9 bilion?
duh watoto wamekuwa wengi sana jf siku hizi

Hivi ni huyu jamaa nilimpa lifti juzijuizi kwnye bike au!? kachka mpaka nauli akawa ana negotiate!
 
Back
Top Bottom