Recent content by MARA IMARA

  1. M

    JamiiForums Tanzania MTV Base watangaza WanaHiphop 10 bora wa Tanzania 2016

    1.fid 2.joh 3.jaymoe 4.Mr blue 5 darasa 6 nick 7mwana fa 8.g nako 9.Dogo janja 10.chemical Walioingia mainstream tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Baadhi ya vyuo vikuu kufutwa

    Sifa za kijinga! Elimu ya MTU inapimwa kwa Ku add value kwenye jamiii! Dogo Wa fb hats masters hana ila kabadilisha dunia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kajiandae; Balaa jipya toka kwa Ommy Dimpoz na Alikiba

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] D'ass!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

    Yani we hapo we umefikiria kodi tu! Hujawaza ajira NA mnyororo Wa biashara! Aiseee kweli nchi yetu ni maskini kwa vyote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Mwanamke anaemjua mungu ndo kila kitu! Unaoa Mke anskunywa tungi unategemea nn
  6. M

    JamiiForums Tanzania Patrick Ngowi mmoja wa wanaodaiwa na Stanbic Bank

    Watu wanapiga porojo tu, ila ukiwa financial analyst unaweza nusa kitu hapa! Nahisi insurance NA bank kuna MTU atahumia tu hapa si ngowi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

    Uko serious kweli??? Basi next time waelimishe khs ugaidi maana pia upo ili wafumbue watu macho na wanaoufanya wana sababu zao pia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere azindua Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi

    Ngoja nifanye mpango nijipatie
  9. M

    JamiiForums Tanzania Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

    Tushapigwa cha pili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Dah nchi yangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Acha u.pumbavu mnataka kuturudisha km zama za nyerere,jiulize kipindi cha nyerere kipi tulinufaika na elimu! Kenya hamna ma form six na bado wanatupiga gap,! Tunarudishwa ujiman
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Km ni kweli aisee elimu tunairudisha km Zamani, Kenya hamna form six lakini wanatupiga gap maskini nchi yangu Tanzania inapiga marktime
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

    Kwa kuwa sijui sababu ya yeye kuuwawa napita kimya huwez jua labda ye alifanya makubwa zaidi! Polen wafiwa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to get a girl's attention via a mobile phone

    Hii mikato balaaaa
Back
Top Bottom