Recent content by mapenzi hasara

  1. mapenzi hasara

    Jinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula

    Mimi nitakufundisha mkuu Umenikumbusha mbali Sana wakati nakaa na bibi yangu alinifundisha Kwanza tafuta konokono wazima wale wanaokaa migombani au sehemu zenye unyevuunyevu (chukua wa kutosha) kisha tafuta sufulia kubwa waweke then Tia maji waweke jikoni wafunike, mpaka watokote kabisa...
  2. mapenzi hasara

    Umoja wa Ulaya (EU) ujue Tanzania ni Taifa huru kwa 100%

    Kwanini walikuwa wanaikubali hiyo misaada wakati wanajua wanaibiwa. Itakuwaje kama nakampuni wanayotegemea kuongeza Kodi yakifungwa sababu ya high importation tax.
  3. mapenzi hasara

    Mti wa maajabu unavyoanguka

    Nami nikaona mti mkubwa Sana unaotoa nuru upande mmoja na upande mwingine wa mti kuna Giza totoro. Nami nikaona wamiliki wa mti huu wakiwaonesha wanakijiji upande mmoja wa nuru na kuwaficha upande mwingine wa Giza. Nami nikaona upande wa Nuru wa mti ukizidiwa na Giza kuanza kutanda katika...
  4. mapenzi hasara

    Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

    Muache kijana wa watu atapata mwanamke anayemfaa na wewe utakuja kujua umuhimu wake ukifikisha 30+
  5. mapenzi hasara

    Uchaguzi 2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

    Kinachosikitisha mnatumia silaha zote Kwa maadui ambao mlianza kuwapunguza miaka minne iliyopita na mkaamini mmewaweza, kinachosikitisha maadui wameleta sehem Tu ya jeshi Lao.
  6. mapenzi hasara

    Je, DAWASCO imeongeza gharama za maji mwezi Agosti kimyakimya?

    Hapana mara ya mwisho tumelipa around 162,000 bill mpya 536000
  7. mapenzi hasara

    Je, DAWASCO imeongeza gharama za maji mwezi Agosti kimyakimya?

    Wakuu, Bills za maji zimetoka mwezi wa August na nimeziona kama bills tatu tofauti zote zinashangaza. Nimeiona bill ya ofisini hii inapitia kwangu Nimeona bill ya mshua wangu na Leo nimepewa bill ya ninapoishi Bill ya ofisini imekuja mara tatu ya pesa tunayolipa Bill ya Kwa mshua imekuja mara...
  8. mapenzi hasara

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Unahisi rahisi atasema zitto ndio kiungunishi Kwa kipindi hiki
  9. mapenzi hasara

    Ushauri: Housegirl anataka nimuoe wakati aliishia Darasa la Tatu na miminatarajia mwakani nivae Joho la Degree

    Bado wewe ni mtumwa wa Elimu Apart from kuelewa kiingereza elimu yako imekufanyia nini kikubwa
  10. mapenzi hasara

    Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

    Kuna vingi unavificha hapa, mada inaanza kwenye kufunga ndoa inakuja kupata mtoto inakuja kuachwa, kuhack kuachishwa kazi, bado kusitisha matumizi
  11. mapenzi hasara

    Safari yangu ya ndoa mwaka 2022 october

    Nje ya ndoa napata uzinzi mkuu
  12. mapenzi hasara

    Safari yangu ya ndoa mwaka 2022 october

    Niko na note book hapa ukinipa leo nitaandika sitopotezea
Back
Top Bottom