TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,628
- 28,717
I like this! Nimekosa burudani za nama hii muda mrefu!!! JF kweli stress free!!!Kama unapokea hela zake, no way, fua tu
I like this! Nimekosa burudani za nama hii muda mrefu!!! JF kweli stress free!!!Kama unapokea hela zake, no way, fua tu
mkuu ile creativity ilikua ya hali ya juu ulikua maarufu gafla jf haitakuja kukusahau kama roho inauma mpaka kesho kuufungia ule uzi
😂😂😂😂 Unaota weweWeeee, mbona mimi unanifulia?
Mmmmmmhhhhhhhh................😏Nitaiona na Niko kwenye process, utashindwa na maneno yako ya mkosaji hayo. Ushindrweee na ulegee
Mnaopenda kufuliwa mnajulikana tuMwache baharia afuliwe bana
Mbona umegunaMmmmmmhhhhhhhh................[emoji57]
NdiyoNawe umepinga [emoji3]
Dogo kuna reply umefuta hapo juuUkitaka na nyingine njoo uniulize tuView attachment 1594400
Muache kijana wa watu atapata mwanamke anayemfaa na wewe utakuja kujua umuhimu wake ukifikisha 30+Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.
Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
Mbona kama ume catch feelings we binti 🙄Ukitaka na nyingine njoo uniulize tuView attachment 1594400
Lakini si umeiona mdogo wangu!?!Dogo kuna reply umefuta hapo juu
Aisee hata Mimi kufua, kuosha vyombo vilikuwa vinanikera Sana ila siku baby akija nilikuwa najiskia raha. Tulipomaliza tu chuo nikavuta ndani Kama utani. Wanaume tunapenda Sana mwanamke anayekuja kukuonyesha kipi ataku offer Kama utamuweka ndani. Sasa Kama kufua tu Ni tatizo dahMm kama mwanaume Kazi zote za ndani naweza kufanya isipokuwa kufua ndio shida na kulifanya iwe sababu mojawapo wa kuoa kwa kuamini mwenzangu atanisaidia ku cover hiyo weakness yangu. Kama ww hutaki kumfulia muache atapata watakoa penda kumfulia huenda ndio weakness yake kubwa uliyotakiwa kui cover ila ndio hutaki
Wala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kama ume catch feelings we binti [emoji849]
Okay, relax hapa hamna mtu anaruhusiwa kununaWala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hako kapicha nakapenda tu huwa kananichekesha..pia hapa jf nafahamiana na watu wengi tu.
Asante kwa kuchangia mkuuYaani unaonekana tu una attitude mbov ata uyo mwanaume atalayekuoa ana hasara sana . Kiufupi we ni wakuliwa na kuachwa hufai kuwa mke. Nyie ndo wale hata kuosha papuch hamjui. Kukuta nyumba ya boyfriend wako haiko sawa na ukaondoka nakuiacha ivyo we ni mchafu kiufupi hufai. Bora akukule tu tena hufai kurudisha ata
Mkuu atakuja kushangaa atakapokuja siku moja kuta kuna msichana mwingine amechukua nafasi yake anafua nguo na hapo ndio atajua kumbe ambacho angeshangaa sio kuambiwa afue nguo yeye angesema mbona ananipa hela wakati hajanioa mimi ningemuelewa.Hela ya mwanaume anaichukua halalamiki ila kufua nguo ndio anakuja kutupigia kelele hapa! Hawa baadaye ndio wanaanza kulazimisha kuolewa na serengeti boys kama shilole bambavMkuu huyu nadhani ni below 30yrs ndo mana analeta maringo, angekuwa kati ya umri huo na zaidi hasingeweza kujiuliza mara mbili mbili, wala hili bandiko usingeliona hapa.
Ninune kwa lipi mkuu??Okay, relax hapa hamna mtu anaruhusiwa kununa
Nimekusoma mkuuAisee hata Mimi kufua, kuosha vyombo vilikuwa vinanikera Sana ila siku baby akija nilikuwa najiskia raha. Tulipomaliza tu chuo nikavuta ndani Kama utani. Wanaume tunapenda Sana mwanamke anayekuja kukuonyesha kipi ataku offer Kama utamuweka ndani. Sasa Kama kufua tu Ni tatizo dah
Lakini tusimlaumu Sana maana kashasema Hana malengo na jamaa.
Ingawa naomba nimkumbushe Mambo mawili tu:
1. Wanaume tuko wengi ila waoaji Ni wachache Sana
2. Mwanamke anaweza kujifunza kumpenda mwanaume
Kaaaazi kwake