Safari yangu ya ndoa mwaka 2022 october

mapenzi hasara

Senior Member
Feb 28, 2020
102
275
Habari Wana jukwaa hili pendwa

Ninaanza rasmi safari yangu ya ndoa itakayofanyika Kati ya 31 October Hadi 6 November mwaka 2022

Kwanza wale wanamaombi naomba mnikumbuke katika maombi yenu maana ndio ninaanza kutafuta Yule nitakayemuoa,

Wazoefu wa ndoa mnipatie mawili matatu ya kuzingatia kwenye kutafuta mwenza na namna ya Kuishi huko kwenye ndoa,

NB
Sitafuti mchumba au mwenza humu
 
1---HAKIKISHA ASIWE MWANA CCM.

hawa watu kama wanadiriki kujifanya hawaoni ukweli , wanafiki, ashindwe kukunafikia ???

Ivo kwanza, asiwe mwana CCM.... Utanishukuru.

2--Asiwe Mwembamba, wanawake wembamba( siwasemi vibaya) ila ukweli wengi wao ni wachoyo. Waongeaji, wanunaji, wepesi wa hasira. Hawapendi kula wala kupika...LABDA MPAKA AKUHAKIKISHIE KUA ATANENEPA UTAKAPOKUA UNAMTUNZA NA KUMLISHA..lkn km pamoja yahayo hanenepi , Piga chini.

Tafuta Bikra, ukikoswa hakikisha ni mwanamke Mcha Mungu kwelikweli ... Alafu asiwe Mnywaji pombe ( kama unabisha, endelea kusoma nyuzi za wana humu namna ambavyo wanagongewa wake sababu ya ulevi n.k)

Sheria ni ngumu ila ni sheria.
 
Asante Sana mkuu
 
Back
Top Bottom