Recent content by mapara manne

  1. M

    JamiiForums Tanzania 1995 - 2017 RIP Wanamtandao wa CCM

    Tangu lini ccm kikawa chama makini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Hapo anayetakiwa kumsafisha ni jeshi la polisi au ni aliyemtaja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha ubinafsi ,maisha ya wana Hai ni muhimu kuliko nyanya zako

    uwenda umeagizwa wewe au una sababu yako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto gani hii

    Ni mda sasa umepita takribani miaka kama 7 tangu nianze kuiota ndoto hii.Usiku wa manane kabisa kuna ndoto huwa inanisumbuwa mara kwa mara.Ndoto yenyewe iko hivi huwa najikuta natembea peke yangu njiani na kuna sehemu nafika nakuta kuna njia mbili moja hinaenda kushoto nyingine kulia na mara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kiafya

    Ndugu wana jf ninajitokeza kwenu nikiwa nafahamu mchango wenu wa mawazo.Leo hii nakuna na tatizo la kiafya,tatizo langu ni kuhusu kufika kileleni mapema ninapokutana na mwanake.Kiufupi hali imeninyima sana raha na kusababisha niwachukie wanawake wengi mno.Kila ninapokutana na mwanamke...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa kuanzishwa mtandao wa JamiiForums

    Ndugu wana jf natoa shukrani zangu kwa walioanzisha huu mtandao wa jf. Shukrani zaidi ziende kwa wanajamii forums wote, nimefaidika kwa mengi niliyokuwa nayajuwa na nisiyokuwa nayajuwa. Siwezi kupitisha hata siku moja bila kuingia jf imekuwa ikiniliwaza pale ninapokuwa na mawazo mengi ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri ya kuonana Faru John

    Huenda ingebaki tanganyika nahisi ili jina la tz ndoo limetufikisha hapa tulipo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Hapo atajirekebisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo imegongelea msumari mwingine wa moto kwa mtumishi wa Umma

    wanafiki sana hao sasa hivi wanalia ikifika october 25 wanajifanya kusahau
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: ACT tunadaiwa milioni 300

    Hasante kwa taarifa
Back
Top Bottom