Recent content by manyunchwii

  1. M

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    hihihihihihi aseee we bado hujakutana na vigingi vinagombana hadi anakuja kufuta namba yake kwenye simu yako alafu bado utapiga mzigo
  2. M

    Gharama za kupiga plasta nyumba

    ramani chumba cha wastani ni sh 80k hadi 120 k kwa hiyo ndani na nje inaweza kufanyia 600k. au 800k pamoja na floor
  3. M

    The king makers

    uko vizur sana.
  4. M

    Story behind your date of birth

    kila mtu sifa kadha wa kadha doesnt work at aalll.
  5. M

    Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

    mtu uliyethibitisha kuliibia taifa unasema kirahisi hivyo tuliamua kumwachia tuuuu. Ila aliyeingiza ving'ombe vyake hifadhin anasakwa utafikir kaua!
  6. M

    World Bank: Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa Kasi!

    hakuna mwananchi anae kula siasa!
  7. M

    Tanzania yaipiku Kenya kwa kuvutia watalii Afrika Mashariki

    Tupongeze wanapofanikiwa, Hongereeni kwa kazi nzuri.. nimesoma tanzania watalii wameongezeka kwa 12% kenya 16% tafsiri yake kwamba kenya wameongezeka zaid kuliko tz, hivyo tz tangu zamani watalii wanaotembelea tz ni wengi zaid kuliko ke so tuendelee kuchapa kazi.
  8. M

    Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Tusipangiane, cdm hawataki kupangiwa na ccm na ccm hawataki kupangiwa na cdm kwaio ni burudan! ila kwa maoni yangu cdm walistahili kupeleka wagombea 4 kutoa wigo mpana katika ugombeaji katika chama, Kupanua demokrasia katika chama, kukuza Iman kwa wanachama, Kuonyesha kuwa wanahadhina ya...
  9. M

    Reasons why Magufuli will be a one term President

    forget about that! go back to the bed!
  10. M

    Tumepigania HAKI yetu ya kuwakilisha nchi EALA, Kuna wanaotulaumu kwa kupigania haki yetu.

    Mi kwa kifup naona hizi nafasi ziko sawa na zile nafasi za viti maalum, wananchi wakikupa kura na wabunge wa kutosha ndivyo unavyopata fursa zaidi, je nyinyi act huko mbona hamkulalamika mpewe nafasi mgombee?? naona mnatafta lawama tu kuonekana mnaonewa! je mnaweza kugombea zile nafasi 6 Za...
  11. M

    Leo ndo mwisho wa Uhakiki

    Nafikiri wataanza uhakiki tena..
Back
Top Bottom