mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,064
- 6,733
Polisi halazimishwa amuhoji nani kabla ya kupeleka kesi mahakamani, mtuhumiwa una haki ya kujitetea mahakamani, polisi kazi yao ni kuchunguza tu. Vivyo hivyo kwa bunge, kamati ya teule ya bunge kazi yake ilikuwa ni kuchunguza tu, Nani wamuhoji au wasimuhoji hiyo ni juu yao, bunge lilikuwa ndio linahukumu, bungeni ndiyo mtuhumiwa lazima apewe nafasi ya kujieleza. Je Lowasa hakupewa nafasi ya kujieleza bungeni ?Mbona hueleweki?
Tume ilitakiwa kupeleka ripoti bungeni ambayo haijakamilika?
Utapelekaje ripoti kabla haijawa kamili?
Kamati ilitakiwa imhoji Lowasa ili kubalance na kwa nini kamati isome ripoti bungeni ili Lowasa ajitetee bungeni?
Juzi Mwakyembe alisemaje kuhusu ripoti ya Nape?
Mbona hata hamueleweki mesimamia kipi?
Jibu ni NDIO, alipewa nafasi ya kujitetea na badala ya kujitetea aliamua kujiuzuru.