Hapo mm yaan nachoka ila bora huyu aliokili kuliko wale wanaoleta unafki wakuhadaa watu ama kweli kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo hapa ndipo nimeanza kuwaelewa wahenga.
Kagari cha mwaka wa juu jaman mambo ya kutembelea gari ya mwaka 1999 tuyaache jaman sahv tutembelee gari za kipindi cha utawala wa J.K walau jaman wengine mpaka leo wako na magari ya utawala wa Mkapa na Mwinyi .
Ni hiyo rangi nyeupe kaka hyo ya beforward nimetaka kuonyesha thamani ya gari husika coz kwenye site kwa 2010 hiyo ndio gari ya kwanza so nimeichukua hyo hyo. Sorry for inteference
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.