Car4Sale Nauza gari nzuri mno

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
109
164
Make; Mazda Verisa
Year ; 2010
Engine : 1498
Gear ; Automatic
Wheel drive; 2 Wheel drive
Colour ; White
Odo ; Low milleage

Exchange deal allowed.

Imported from japan straight.

Changamoto, Tairi ya upande mmoja nyuma rimsport yake imezingua melini so ya kureplace nazo pia zipo.
Na service ya kawaida ambayo nayo siwezi isema ni changamoto sababu gari lazima uifanyie service coz sio mpya hizi ni mtumba toka nje.

Bei ni ndogo na rafiki mno nauza 11.5 pamoja na registration,
neg .

Karibu kwa kuona au kukagua ni bure ukinifata nikukufata utachangia mafuta njoo na wataalamu wako nikupe gari mwana j.f mwenzangu hutajuta nauza huku roho yaniuma kali ni nzurii mnooo mwaka wa juu.

Kwa wale wenye maneno maneno nimewawekea na risiti kabisa bei ya japan hyo gari na c& f pamoja na ushuru ya mwaka husika kwenye website ya beforward , Na ushuru wake hapa kwa Tra . Hapo sijaweka agent fee na gharama za meli na nyinginezo so ingeweza fika mpaka 13 au 14 ila mm nakuuzia kwa 11.5 na nakusajilia kabisa.

Maelezo yasiwe njoo kwenye gari ukague na watAlaamu wako, gari ipo Dar es salaam, Airport .

Picha zaidi whatsap 0677 210276 au 0763 950219


KARIBUNI SANA.
20220913_175456.jpg
20220913_175352.jpg
20220913_175135.jpg
20220913_175311.jpg
20220913_175106.jpg
20220913_175033.jpg
Screenshot_20220914-071735_Chrome.jpg
Screenshot_20220912-115614_Office.jpg
 
Make; Mazda Verisa
Year ; 2010
Engine : 1498
Gear ; Automatic
Wheel drive; 2 Wheel drive
Colour ; White
Odo ; Low milleage

Exchange deal allowed.
Imported From japan.

Price ; 11.5with registration, neg.

Whatsap 0677 210276 au 0763 950219 kwa picha zaidi , au maelezo yoyote au kukagua.
20220913_175456.jpg
20220913_175352.jpg
20220913_175250.jpg
20220913_175135.jpg
20220913_175106.jpg
20220913_175033.jpg
 
 
Karibuni tangazo pia lipo kwenye J.f garage nimeweka link hapo chini lina maelezo mengi zaidi pia unaweza pitia ukitaka kushiba maelezo,
 
Vyema, je gari unayoiuza ni hiyo kwenye picha ya befoward ambayo ni rangi nyekundu, au hiyo yenye rangi nyeupe?
 
Vyema, je gari unayoiuza ni hiyo kwenye picha ya befoward ambayo ni rangi nyekundu, au hiyo yenye rangi nyeupe?
Ni hiyo rangi nyeupe kaka hyo ya beforward nimetaka kuonyesha thamani ya gari husika coz kwenye site kwa 2010 hiyo ndio gari ya kwanza so nimeichukua hyo hyo. Sorry for inteference
 
Karibuni gari bado ipo nataka aipate member wa humu jaman karibuni kukagua buree gari nzuri saana.
 
Back
Top Bottom