Nimeamua kusaidia Mtu mwenye wazo la biashara bora - Fremu ya Biashara Sinza

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Habarini wapendwa..

Naishi Sinza Mori..
Nje ya nyumba yetu tuna Fremu, 5 ila moja ipo tupu.. Nilikuwa nataka kusafiri, nikawaza nikodishe nikirudi baada ya miaka 2nianze upya..

Lakini.. nimewaza nikasema kuna jambo naweza fanya, ikawa msaada kwa mtu na
ikiwa ata kuwa muaminifu, nitashare naye Capital tufanye biashara ila mimi sita kuwepo, ata simamia yeye.

Ni hivi.. kama unadhani una wazo bora la biashara ambayo inaweza kufanyika kwa uwazi na ikaleta faida .. utashare wazo lako hapa.. kisha atakaye pita.. tuta wasiliana nikupe frame, ilipo barabarani kabisa, na pia nita share na wewe only 2milion kama njia ya kuangali unawezaje kuweka uhalisia wa wazo lako katika matendo.. kam kweli wazo lako lita onekana kufanya kazi basi utakua umenipa
imani ya kuongeza mtaji kadiri muelekeo wa biashara utakavyo taka.

Haya karibuni... Kama mm ninavyo taka kumpa mtu iman yangu na moyo wangu unavyotaka kumpata hustler wa maisha .. naomba na wewe utakayr chaguliwa uwe na imani na mm na utimize tutakacho kubaliana..

Tuanze Challenge hapa.. leta wazo upate fremu na mtaji wa kuanzia wa 2milioni, Challenge yetu itaanza Leo tarehe 20 Sept mpaka tarehe 1 October mshindi atatangazwa. (10days)

Sharti.. Uwe na Kitambulisho cha Nida, na uwe n mtu mwaminifu wa kukudhamini ili ukizingua awajibishwe, uwe tayari kunikutanisha na Ndugu zako au nijue unapo ishi.

Asanteni.

Kuna aliyekuja dm hapa sasa hivi, akasema ana mawazo mawili ila hapendi kushare kwenye public,

Jibu hili nililompa, na mwingine mwenye wazo ila anaogopa naomba ufanye hivi,

Utashare na mimi dm wazo lako, ila kama nikikutangaza mshindi, itabidi nilipost hapa ili watu wajue aliyeshinda ameshinda kwa nini.. na kwa kuwa utakuwa mshindi unaenda kulitekeleza, itakuwa siyo case tena..maana utalitekeleza kwa ubora kuliko atakaye iga..

Haya karibuni
 
Mimi nichek pm wazo langu siliweki wazi kama hIvyo ni idea ambayo sidhanI kama watu wengi wa kipande hIcho wanafikiria.
 
Kuna aliyekuja dm hapa sasa hivi, akasema ana mawazo mawili ila hapendi kushare kwenye public,

Jibu hili nililompa, na mwingine mwenye wazo ila.anaogopa naomba ufanye hivi,

Utashare na mm dm ,ila kama nikikutangaza mshindi, itabidi nilipost hapa ili watu wajue aliyeshinda ameshinda kwa nini.. na kwa kuwa utakuwa mshindi unaenda kulitekeleza siyo case tena..utalitekeleza kwa ubora kuliko atakaye iga..

haya karibuni
 
Ninawazo la kuuza kashata za nyama, apo aweke mabubwi ya kamali wa2 wajilipue
Kijana wa folex aliekuwa anaomba kianzio aje apa apewe frem na kampuita kadhaa awe anauza signal kwa mafungu aanzishe na one on one mentshp kila kichwa s 50$
Hahah ilo neno Dubwi huwa linanifurahisha sana
 
Kuna wazo la kufungua kama call center ya madada poa (escort service ya kienyeji). Tunaweka computer zetu mbili au 3 na simu.

Halafu tunasajili kina dada kama wale wa telegram kwa ada ndogo. Tunakuwa na portfolio za wasifu wa kila mmoja wao ikiwemo huduma wanazotoa.

Muhitaji huduma anapiga simu kwetu kwa ada ndogo tunamuunganisha na muhusika sisi tunakula commission yetu ya mtu kati kiulaini kabisa.

Tena kama ka frame kana nafasi tunaweka na kachumba ka showtime hapo hapo. Siku kama hakuna wateja tunakula bidhaa zetu wenyewe. Yani hapo lazima tuwe ma don ndani ya mwaka tu. Ukirudi toka huko uendeko utakuta tushajenga ma mall kabisa.

Mchango wangu katika hili ni uendashaji biashara (operations) pamoja na usaili wa kina dada (oral and practical interviews)
 
Kuna wazo la kufungua kama call center ya madada poa (escort service ya kienyeji). Tunaweka computer zetu mbili au 3 na simu.
Halafu tunasajili kina dada kama wale wa telegram kwa ada ndogo. Tunakuwa na portfolio za wasifu wa kila mmoja wao ikiwemo huduma wanazotoa.
Muhitaji huduma anapiga simu kwetu kwa ada ndogo tunamuunganisha na muhusika sisi tunakula commission yetu ya mtu kati kiulaini kabisa.
Tena kama ka frame kana nafasi tunaweka na kachumba ka showtime hapo hapo.
Siku kama hakuna wateja tunakula bidhaa zetu wenyewe. Yani hapo lazima tuwe ma don ndani ya mwaka tu. Ukirudi toka huko uendeko utakuta tushajenga ma mall kabisa.
Mchango wangu katika hili ni uendashaji biashara (operations) pamoja na usaili wa kina dada (oral and practical interviews.
😎😎😎
 
Kuna aliyekuja dm hapa sasa hivi, akasema ana mawazo mawili ila hapendi kushare kwenye public,

Jibu hili nililompa, na mwingine mwenye wazo ila.anaogopa naomba ufanye hivi,

Utashare na mm dm ,ila kama nikikutangaza mshindi, itabidi nilipost hapa ili watu wajue aliyeshinda ameshinda kwa nini.. na kwa kuwa utakuwa mshindi unaenda kulitekeleza siyo case tena..utalitekeleza kwa ubora kuliko atakaye iga..

haya karibuni
Ukiitwa kwenye fursa juwa wewe ndo fursa. Kuna kaharufu hapa kaupigaji.

Kuna boya hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha Kali.
 
Habarini wapendwa..

Naishi Sinza Mori..
Nje ya nyumba yetu tuna Fremu, 5 ila moja ipo tupu.. Nilikuwa nataka kusafiri, nikawaza nikodishe nikirudi baada ya miaka 2nianze upya..

Lakini.. nimewaza nikasema kuna jambo naweza fanya, ikawa msaada kwa mtu na
ikiwa ata kuwa muaminifu, nitashare naye Capital tufanye biashara ila mimi sita kuwepo, ata simamia yeye.

Ni hivi.. kama unadhani una wazo bora la biashara ambayo inaweza kufanyika kwa uwazi na ikaleta faida .. utashare wazo lako hapa.. kisha atakaye pita.. tuta wasiliana nikupe frame, ilipo barabarani kabisa, na pia nita share na wewe only 2milion kama njia ya kuangali unawezaje kuweka uhalisia wa wazo lako katika matendo.. kam kweli wazo lako lita onekana kufanya kazi basi utakua umenipa
imani ya kuongeza mtaji kadiri muelekeo wa biashara utakavyo taka.

Haya karibuni... Kama mm ninavyo taka kumpa mtu iman yangu na moyo wangu unavyotaka kumpata hustler wa maisha .. naomba na wewe utakayr chaguliwa uwe na imani na mm na utimize tutakacho kubaliana..

Tuanze Challenge hapa.. leta wazo upate fremu na mtaji wa kuanzia wa 2milioni, Challenge yetu itaanza Leo tarehe 20 Sept mpaka tarehe 1 October mshindi atatangazwa. (10days)

Sharti.. Uwe na Kitambulisho cha Nida, na uwe n mtu mwaminifu wa kukudhamini ili ukizingua awajibishwe, uwe tayari kunikutanisha na Ndugu zako au nijue unapo ishi.

Asanteni.

Kuna aliyekuja dm hapa sasa hivi, akasema ana mawazo mawili ila hapendi kushare kwenye public,

Jibu hili nililompa, na mwingine mwenye wazo ila anaogopa naomba ufanye hivi,

Utashare na mm dm wazo lako, ila kama nikikutangaza mshindi, itabidi nilipost hapa ili watu wajue aliyeshinda ameshinda kwa nini.. na kwa kuwa utakuwa mshindi unaenda kulitekeleza, itakuwa siyo case tena..maana utalitekeleza kwa ubora kuliko atakaye iga..

Lengo ni zuri tu.. huwezi mwingiza mtu kwenye nyumba ya famili na mtaji juu alafu hunjui kwao hujui ndugu zake.. alafu uka muachia hela alafu usafiri hujui akili yake akisha ishika ataingiwa na tamaa gani.. ndio maana nika waza mdhamini kwa kwa ajili ya mtaji usitapanywe.
 
Sahihi kabisa ndio maana nikanakili hicho kipengele
 
Mpaka sasa walio kuja inbox mmefika 15 lakini katika wote walio kuja ni 7 tu ndio wame weza kuelezea mchanganuo mzima kuanzia aina ya biashara mpaka manunuzi, uendeshaji, matumizi, mpaka faida..

hii inampa nafasi mtoa hela na frame kujiridhisha kuwa huyu mtu ana jua anacho kizungumzia na siyo kwamba anataka tu kushawishi ili apate eneo na mtaji kisha afanyie mambo mengine..

katika hawa 7 .. wa wili wanaonekana wana mawazo yeye uhalisia . wengine wanaongelea mawazo ya mtaji wa milion 5 mpaka 7 ila ana lazimisha uone inafanyika kwa mtaji nilio usema wa milion2. kama unazungumzia biashara ambayo ni kubwa ni sawa ila onyesha utaianzaje kwa mtaji huu nilio utangaza wa milion mbili na na uta save faidia kwa style gani kisha uirudishe kwenye mzunguko mpaka kufikia lengo la ukubwa wa biashara ya mtaji ule unao uwazia..

au ongelea mtaji halisi ninao utoa kwako. mzunguko mzima mpaka kupata faida yake.
 
Mkuu mimi sitataka tuumize kichwa , milioni 2 utakayotoa mimi nitatoa milioni 2 jumla 4 million. Tufungue tigo pesa , m, pesa, airtel money halopesa , uwakala wa benki, na huduma nyinginezo za kifedha mtaji tutaukuza kadiri faida inavyoingia , hapa ni rahisi kujua faida iliyoingia na hesabu za fedha malipo ni mwisho wa mwezi, faida nyingine mimi ni mzoefu kwenye miamala ya simu na biashara kwa ujumla lingine nina dhaminika na nilikuwa na ndoto ya hii biashara pia kushare napenda kwakuwa nitakuwa na mtu wa kunimanage na kushauriana shukran
 
Natoa huo mtaji ,njoo na wazo lako inbox unambie ni jinsi gani tutagawana faida, kwa dar es salaam mbagala itapendeza zaid.
 
Zoezi letu lilifungwa Tarehe 1, October 2022.

Tumetumia siku 3 kuipitia mawazo 35 yaliyo wasilisha DM na memgine matatu(3) ya hapa kwenye comment, jumla tulikuwa na mawazo 38,

Mawazo yaliyo fanikiwa kuingia 10bora ni:

1. Wazo la Nafaka (Wamefungana wapo wa5 walio wasilisha wazo hili.)

2. Wazo la Mayai ya Jumla.

3. Wazo la Nguo

4. Wazo la Butcher

5.Wazo la Ufundi Simu na uuzaji wa Accesory za computer na simu.

6. Wazo la Stationary n Uduma za Miamala

7. Wazo la Juice ya Miwa na Mtindi.

8. Wazo la Car lubricate and Accesories.

9. Wazo la Kuuza Movies za Soft copy na Accesories za computer

10. Wazo la Supu za Ulimi, Kongoro na Kuku.

Tunapitia mawazo haya 10. kwa ufainisi kuona walio wasilisha kama wame weza kuelezea na kuchaganua vyema proposal zao.

Mshindi ata tangazwa hapa kati ya leo na kesho.

Vitu vinavyo zingatiwa ni :

1. Mleta wazo ameweza kuelezea mtaji husika ulio tajwa? kama amevuka ukomo wa mtaji anasemaje ana uwezo wa kujazia au vip?

2. Je amefafanua mchanganuo wa wazo lake kwanzia Bei ya Manunuzi na ya Mauzo?, ameweza kuonyesha faida itakavyopatikana?, ame weza kuelezea matumizi ya mzunguko mzima wa biashara mpaka kuifikia faida?

Je wazo lake ni halisia au haliendani na uhalisia wa kibiashara (Hivi haelezi yeye ila.mm na mtaalamu wa biashara tunavitafakari kwenye wazo lake)

Je faida anyo izungumzia inaweza kweli kumpa chakula cha kila siku na akansave kukuza biashara au ndio mtaji utaliwa chakula,

Je faida anayo izungumzia ina fikia viwango vya faida ya kujiendesha kibiashara au ndio risk ya mtaji mkubwa alfu faida haifiki hata asilima 5% maana biashara yenye tija faida inatakaia iwe 12%, 15% au hata 20%

Tukijiridhisha tuta mtangaza mshindi ndani ya siku mbili na ataitwa Dm atoe number zake tumpigie na akikabidhiwa mtaji na frame apige picha na tutamtaka aje kutoa ushaidi hapa ili watu wajue fursa inachangamkiwa n wale wasio penda kuamini wawe na imani
 
Habarini wapendwa..

Naishi Sinza Mori..
Nje ya nyumba yetu tuna Fremu, 5 ila moja ipo tupu.. Nilikuwa nataka kusafiri, nikawaza nikodishe nikirudi baada ya miaka 2nianze upya..

Lakini.. nimewaza nikasema kuna jambo naweza fanya, ikawa msaada kwa mtu na
ikiwa ata kuwa muaminifu, nitashare naye Capital tufanye biashara ila mimi sita kuwepo, ata simamia yeye.

Ni hivi.. kama unadhani una wazo bora la biashara ambayo inaweza kufanyika kwa uwazi na ikaleta faida .. utashare wazo lako hapa.. kisha atakaye pita.. tuta wasiliana nikupe frame, ilipo barabarani kabisa, na pia nita share na wewe only 2milion kama njia ya kuangali unawezaje kuweka uhalisia wa wazo lako katika matendo.. kam kweli wazo lako lita onekana kufanya kazi basi utakua umenipa
imani ya kuongeza mtaji kadiri muelekeo wa biashara utakavyo taka.

Haya karibuni... Kama mm ninavyo taka kumpa mtu iman yangu na moyo wangu unavyotaka kumpata hustler wa maisha .. naomba na wewe utakayr chaguliwa uwe na imani na mm na utimize tutakacho kubaliana..

Tuanze Challenge hapa.. leta wazo upate fremu na mtaji wa kuanzia wa 2milioni, Challenge yetu itaanza Leo tarehe 20 Sept mpaka tarehe 1 October mshindi atatangazwa. (10days)

Sharti.. Uwe na Kitambulisho cha Nida, na uwe n mtu mwaminifu wa kukudhamini ili ukizingua awajibishwe, uwe tayari kunikutanisha na Ndugu zako au nijue unapo ishi.

Asanteni.

Kuna aliyekuja dm hapa sasa hivi, akasema ana mawazo mawili ila hapendi kushare kwenye public,

Jibu hili nililompa, na mwingine mwenye wazo ila anaogopa naomba ufanye hivi,

Utashare na mm dm wazo lako, ila kama nikikutangaza mshindi, itabidi nilipost hapa ili watu wajue aliyeshinda ameshinda kwa nini.. na kwa kuwa utakuwa mshindi unaenda kulitekeleza, itakuwa siyo case tena..maana utalitekeleza kwa ubora kuliko atakaye iga..

haya karibuni
safi sana mkubwa, hii ndio nataka kuona hapa. Mm kama ungekua unapangisha fremu, wazo langu na mtaji wangu ungenipata.
 
Back
Top Bottom