Inashangaza sana, kwenye huo usaili wa February waliitwa watu 233 kwa nafasi 70, ajabu wakatangaza tena nafasi nyingine 3 naona wameita tena 400+ wakashindanie hizo nafasi tatu, hivi ni kweli wote hao 233 hamna watu wa kujaza hizo nafasi 3? kuwa jobless Tanzania ni mateso sana tunaomba Mungu...
Mk
Mkuu shukrani kwa taarifa, naomba kuuliza hayo mashamba ya kununua kwa 30k yanakuwa na ukubwa gani? na yanapatikana wilaya ipi na vipi hali ya hewa ikoje inasapoti mazao gani?
Mkuu hiyo web ina access mpaka kwa Rais? maana kama ni wizara tutakuwa tuna twanga maji kwenye kinu hawa watu ni chain moja muhimu ni kwenda moja kwa moja kwa Rais na kuwasagia kunguni naamini Rais wetu ana nia njema ila kuna kakikundi kawahuni wachache hapa katikati ndiyo kanaleta urasimu wote huu.
Kuna vitu ukifikiria inashangaza kweli imagine nafasi ya kumpata Raisi wa nchi mchakato wake huwa hauzidi hata miezi minne, njoo sasa kwenye hizi ajira zetu jobless mtu anakaa mpaka mwaka mzima hajajua hatima yake ni ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.