Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hivi unadhani wanaofanya intern Tra ni watoto wa masikini ?
Wengi ni watoto wa maafisa Kodi.
Hivi unadhani wanaofanya intern Tra ni watoto wa masikini ?
Wanawatengenezea namna ya kuwapenyeza maana mbungi ya psrs sio ya mchezo mchezo kupenya ujipangeeWengi ni watoto wa maafisa Kodi.
100%Wengi ni watoto wa maafisa Kodi.
Salama mkuuSalama humu aiseee???
Polen na majukumu na mahangaiko ya hapa na pale
Kuripoti hadi wakupigie simu. Inategemeana na taasisi. Zingine zinawahi kukupigia lakini zingine zinachelewa kukupigia.Salama mkuu
Unaripoti lini kazini?
Sio kweli, wengi hawana uhusiano na maafisa wa TRA. Yaan kama intern wako 300 basi 250 hawana connection yoyote.Wengi ni watoto wa maafisa Kodi.
makofia360Makofia kaka uko wapi, uje kutupa za ndaniiiiiiii maana tumeanza poteza matumaini
Kuna kazi utazidharau na kuziona za kawaida ila wanachokusanya mwisho wa mwezi ni Siri ya Kambi. Mfano Mortuary attendants au Store keeper wa TBLKuna mtu alikuwa anajitolea tanesco pale iringa miaka 13 sijui km aliajiliwa aisee alikuwa store keeper khaaa kuna watu wavumilivu Sana km Ibrahim
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe ni mgeni hapa bongoland?
Mwishon mwa mwezi huuSalama mkuu
Unaripoti lini kazini?
Kuhakiki vyeti na nyaraka zingine inachukua Muda Gani toka siku ya kupeleka barua ya placement?Kuripoti hadi wakupigie simu. Inategemeana na taasisi. Zingine zinawahi kukupigia lakini zingine zinachelewa kukupigia.
Inategemeana na mwajiri. Wengine wanachukua wiki mbili, wengine wiki tatu, wengine mwezi mmoja na wengine hadi miezi mitatu. Hiki nacho huwa ni kipindi cha stress kwa waliopangiwa placement.Kuhakiki vyeti na nyaraka zingine inachukua Muda Gani toka siku ya kupeleka barua ya placement?
Kwa halmashauri wanachukua Muda Gani?Inategemeana na mwajiri. Wengine wanachukua wiki mbili, wengine wiki tatu, wengine mwezi mmoja na wengine hadi miezi mitatu. Hiki nacho huwa ni kipindi cha stress kwa waliopangiwa placement.
Halmashaurini ni fasta tu. My friend alienda halmashauri ndani ya wiki mbili tu akapigiwa simu akasain mkataba wa kazi rasmiKwa halmashauri wanachukua Muda Gani?
Kuna halmashauri niliripoti 15/5 hadi leo sijapigiwa simu Wala wenzangu tulioripoti nao.Halmashaurini ni fasta tu. My friend alienda halmashauri ndani ya wiki mbili tu akapigiwa simu akasain mkataba wa kazi rasmi
Utapigiwa tu ndugu.Kuna halmashauri niliripoti 15/5 hadi leo sijapigiwa simu Wala wenzangu tulioripoti nao.