Goma la Eneka ni zuri lakini the fact kwamba beat inafanana na Fall ya Davido hapo ndo naona kama kachemka hivi
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kuna Trafic mmoja alikamata sana jiji la Dar hasa kwenye makutano ya barabara za Mwenge,Bamaga na Sayansi kwa staili yake ya kuongoza magari hasa nyakati za asubuhi na jioni.
Wengi walifurahia namna alivokuwa anaonyesha namna gani anapenda kazi yake kwa jinsi alivokuwa anayaita magari kwa...
Ni muda kidogo toka nitumie vyombo vya usafiri wa umma yaan daladala. Niliacha kutumia daladala toka Decemba 2014 baada ya kununua gari la kunifanikishia mishe mjini aina ya Passo.
Hii gari imekuwa ikinisaidia mishe nyingi lakini pia nmeweza kukamata watoto wakali tu hapa town kuanzia wa vyuo...
Efrahim Kibonde ameyasema hayo leo wakati wa kipindi cha Jahazi leo hii baada ya mtangazaji mwenzie kumwambia kuwa wanamuziki hao wamegoma kuwatungia nyimbo Serengeti Boys.
Je ni sawa kwa bwana kibonde kuwaita wanamuziki hao wendawazimu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.