Kiba na Diamond wagoma kuimba wimbo wa hamasa kwa Serengeti Boys

Naona sababu ni EFM ndo walikuwa waurekodi ndo maana imekuwa hivyo, wangekuwa clouds fm ndo wameratibu wasingekataa, au kuna mkono wa Bashite anataka yeye ndo ajifanye kuwashawishi ili apate kiki
 
We waache tu na ole wao next time mmoja kati yao apate kashoo ka kimataifa ajifanye anachukua bendera kuwakilisha taifa na kujifanya mzalendo ndo tutanzia hapo hapo kumnanga
 
Efrahim Kibonde ameyasema hayo leo wakati wa kipindi cha Jahazi leo hii baada ya mtangazaji mwenzie kumwambia kuwa wanamuziki hao wamegoma kuwatungia nyimbo Serengeti Boys.
Je ni sawa kwa bwana kibonde kuwaita wanamuziki hao wendawazimu?
bed28f80a66ae105577090e1344734ff.jpg
 
Nimemsikia Kibonde katika kipindi cha Jahaz akisema Ali Kiba na Diamond ni WENDAWAZIM, kwa kukataa kutengeneza wimbo wa kuwasifu serengeti boys wanaotuwakilisha huko Gabon.
 
Back
Top Bottom