Recent content by Manucho90

  1. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Asipotumwa atatoa mchango gani?
  2. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Onyo!! Usije weka hela parimatch ni matapeli

    Helabet Wana shida gani Kaka? Nawatumia kwenye kubeti
  3. Manucho90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Alikula kiapo cha kuvumilia raha na shida, uzima na magonjwa
  4. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wana pesa chap wanasikilizwa had na waziri mkuu!!!
  5. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Nini maana ya mwili mmoja? Mali binafsi si aendelee tu na maisha yake binafsi! Wewe jamaa zinduka hiki kitu hakipo sawa
  6. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Wife ana plot yake binafsi? Ila plot yako ni ya wote? Vijana kataeni ndoa ni utapeli
  7. Manucho90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    hahahaha hahahaha hahahaha
  8. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ongea na huyo anayesema anawaombea wote kwa jina la Yesu!
  9. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Qatar na Saudi hawamtaji Yesu na mambo yao yanaenda....zinduka
  10. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jobless hii salamu haiwahusu
  11. Manucho90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Aiseeh! watoto wengi waliolelewa bila baba ua na maisha magumu sana usipotoshe watu. Wengi pia ua mashoga kwa wanaume
  12. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utumishi ua wanaenda ofisini kufanya nini? Wanaenda na kuondoka bila cha maana
  13. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huku kuna hela ndiyo maana tulifanya interview yao psrs wakaitana kimya kimya
  14. Manucho90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    @ orosso akaunt yako imedukuliwa au unadata? Maana ulikua vizuri tu
Back
Top Bottom