Chonde chonde j2 icjekua chungu mwaka mzima anamaanisha atakacho kifany ni kutoa ripoti kw bashite na gangstar wake wakavamie kanisa ili wamteke na kumpeleka kuckojulikana
lngelitokea na hawa madereva wetu wa mabac na malor wakagoma jee na wao wangeliomba mamlaka za keny kutuma madereva tanzania waajiriwe ili wazibe pengo?
Wanatafuta tu pakutokea ila ukweli utabaki pale pale hawawez kuikatia umeme zanzibar narejea tena hawawezi na hiyo 10b ilolipwa ni mtukufu mwenywe ndo aloitoa, zanzibar kw sasa jeuri hiyo hawana.
Mahakama inawanyima haki wale watu miaka kadhaa sasa ushahidi haujakamilika halafu hapo unajinasib mahakama inatenda haki sawa inaweza kutenda haki kw baadhi ya watu ila kw viongoz wale hawajaonja hiyo haki ya mahakama ila kuna siku watu watachoka na wachukue sheria mikonon mwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.