Vijana Nafasi za Jeshi Sweden Vijana wa huko ni mbinde kujiunga na Jeshi.

We Kichaa Usinuchukulie Poa Mzee naona Hata hujaisoma unakimbilia Lugha za Matusi nasisitiza

vijana wenye uwezo waende Sweden kujiunga na Jeshi kwani Vijana wa huko ni Mbinde kujiunga na wanaona kazi ya Kizamani na pia wanaona malipo madogo

Kati ya mwaka 2010-2015 Jeshi liliajiri Nusu ya mahitaji wake ambapo pia wengi waliacha kazi pia.

Maafisa wetu Waliosoma Monduli na Nchi nyingine Katika mambo hayo ya Military paramedics waende wamesema hawana wakufunzi pia.

Endelea kutumia mihadarati Dada sisi tunasonga mbele.
Sweden ni nchi ya Scandinavia kwa nchi tajiri kama ile haiwezi kuchukua wakufunzi kutoka Afrika.
 
Sweden bonge la nchi I love it. Ukiwa pale stockholm railway station unafurahi tuu jinsi ya mchanganyiko wa watu malticulturism. Waswidi ni wakarimu open minded na wacheshi. Ukiwa mgeni uwailize wakuelekeze njia wataacha hata kuongea na simu wakuelekeze.

Nilichukua metro 14 underground had teknista (cjui spelling sahihi) pale teknista nikawahi train number 29 had Tabby. Kwenye ubaloz wetu. Magufuli una watu Yani majembe pale ubaloz wetu Sweden sijawahi ona katika Baloz zetu zote. Niwakarimu sana na waelewa nawanakusikiliza na wanakihudumia I love those fellow Tanzanians. Kila nikitia mguu stockholm lazima niende kuwapa hi ubalozin hapo nje kidogo kutoka senta. I feel at home Bcoz simply they make u feel like that. Huendakwasababab wamecoup na tabia ya waswidi Na ukichanganya na ukarimu wetu. Jimena

Dah Sweden maamae!
Gud välsigna Sverige..
 
Acha ushamba wewe watu kutafuta maisha ndio uwanaume au wewe ni mwanamke
Hapa hapa ukikomaa maisha unapata.mawazo ya kukimbilia ulaya ni ya wajinga,kufikiri ukienda ulaya utapata maisha mazuri ni mawazo ya zamani.
Kuna watu wapo ulaya zaidi ya miaka 10 sasa na wakirud hapa wanarudi na beg la nguo tu.
Ulaya yenyewe siku hizi hata ajira hakuna huko watu wana lala nje huko ulaya na kula kwa msaada wa coupon.
 
Sweden ni nchi ya Scandinavia kwa nchi tajiri kama ile haiwezi kuchukua wakufunzi kutoka Afrika.
Kwan kwenye kuajir si wanaangalia qualifications za mtu au? So wataka kuniambia mtu hata kama ana qualifications za maana kisa katoka Africa hawezi kuchaguliwa wata prefer wa Ulaya au America?
 
Unajifariji ndugu.

Kama umri wako umesonga kaa kimya tu yaishe.
 
Unajifariji ndugu.

Kama umri wako umesonga kaa kimya tu yaishe.
Najaribu kukwambia ukweli ndugu yangu.Kuna watu tena wana hadhi ya ukimbizi na wanalala nje kwenye vituo vya mabas na na vimbweta jijini Paris, ufaransa.Wewe leo mtanzania unataka kukimbilia ulaya ili iweje?
Hakuna kitu huko ulaya sasa.
Ulaya ilikuwa bora kwenye karne ya 19 lakini sio sasa
 
Sweden ni nchi ya Scandinavia kwa nchi tajiri kama ile haiwezi kuchukua wakufunzi kutoka Afrika.
Jeshi la ulinzi la nchi yoyote liko katika mkono mmoja, yaani nazungumzia system karibu zote, kuanzia vyeo,aina za mafunzo n.k.
Heshima anayoipata captain wa Tanzania ndani ya jeshi la wananchi ni ileile atakayoipata akiwa U.S.A.
L.CANAL fulani (jina kapuni) alipokuwa Meja alikwenda U.S.A kikazi alipofika kule alipewa heshima kama Meja wa U.S.
Vitabu tunavyovisoma katika jeshi hapa Tanzania vingi vimetungwa nchi za wenzetu kama U.K n.k
Majeshi mengine kama polisi, Magereza hujiendesha kihuria yaani mifumo hutofautiana kutoka nchi hadi nchi.
 
Jeshi la ulinzi la nchi yoyote liko katika mkono mmoja, yaani nazungumzia system karibu zote, kuanzia vyeo,aina za mafunzo n.k.
Heshima anayoipata captain wa Tanzania ndani ya jeshi la wananchi ni ileile atakayoipata akiwa U.S.A.
L.CANAL fulani (jina kapuni alipokuwa Meja alikwenda U.S.A kikazi alipofika kule alipewa heshima kama Meja wa U.S.
Vitabu tunavyovisoma katika jeshi hapa Tanzania vingi vimetungwa nchi za wenzetu kama U.K n.k
Majeshi mengine kama polisi, Magereza hujiendesha kihuria yaani mifumo hutofautiana kutoka nchi hadi nchi.
Ni kweli, ranks za jeshi ni moja duniani kote lakini nadhani usichoelewa ni suala la medani za ulinzi na mapigano yanayohusisha aina tofauti za silaha. Wenzetu hao hawatumii zana za mwaka 47, hawana mapori makubwa hivyo hata mapambano yao ni tofauti sana, hao wakufunzi kutoka Afrika wakafanye nini kwenye nchi zinazotumia sattelite, drone, ICBM ambazo kwa Afrika ni ndoto?
 
Kwan kwenye kuajir si wanaangalia qualifications za mtu au? So wataka kuniambia mtu hata kama ana qualifications za maana kisa katoka Africa hawezi kuchaguliwa wata prefer wa Ulaya au America?
Nazungumzia wakufunzi. Kwa mfano mkufunzi kutoka Afrika atawezaje kutoa mafunzo ya kijeshi kuwadhibiti waasi wa kule huku akiwa hafahamu a, c, d za nchi husika, silaha wanazotumia waasi na vikundi vya kigaidi na aina ya silaha wanazotumia? au hujui kwamba mafunzo ya kijeshi yanabadilika kufuata mabadiliko ya wakati na changamoto za uwanja wa mapambano? Wenzetu hawaajiri watu watu ili wavae gwanda tu na kuzuga mitaani, wanaajiri kweli kweli na ndio maana majeshi yao hayana masharti magumu ya kujiunga ila wanarecruit mtu watu wenye sifa zote za kuwa wanajeshi hata bila kujali sana elimu wala matatizo ya kiafya.
 
Hapa hapa ukikomaa maisha unapata.mawazo ya kukimbilia ulaya ni ya wajinga,kufikiri ukienda ulaya utapata maisha mazuri ni mawazo ya zamani.
Kuna watu wapo ulaya zaidi ya miaka 10 sasa na wakirud hapa wanarudi na beg la nguo tu.
Ulaya yenyewe siku hizi hata ajira hakuna huko watu wana lala nje huko ulaya na kula kwa msaada wa coupon.
Acheni jelous wabongo kama mnaona maisha mazuri sana bongo si muendelee tu kuenjoy na muache kumlaumu magufuli wenu,kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha na akiamua kwenda ulaya au kama wewe umetoka kolomije na sasa ndio muuza mchicha ukonga basi hayo maamuzI yako so waacheni wenzenu waenjoy maisha yao ulaya na nyinyi endeleeni kulalamika na ugumu wa maisha hapo kwa magufuli.
 
Tatizo ni elimu elimu elimu, kila siku mnasikia waarabu wanavyokufa baharin kwenye bahari ya Mediterranean wakijaribu kwenda Ulaya, na wakifika huko vijana wengine wa kiarabu na kiafrika wanaishia kuuza matako kwa wagiriki.Wale wanaokimbilia kwingineko wanalala nje ktk baridi Kali.Au hujawahi kusikia na kuona makaz ya machokolaa wahamiaji pale Calais, ufaransa?
Ulaya hakuna maisha siku hizi
 
Back
Top Bottom