Mondi anaogopa nini?

ydn

JF-Expert Member
Nov 24, 2015
2,092
1,409
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba chonde chonde j2 isije ikawa chungu mwaka mzima. Swali kwani Mondi anaogopa nini? Kuna lolote lipo nyuma ya pazia juu ya mafanikio yake ambayo watu wakiyajua yatashusha mafanikio yake?
 
itakuwa paulo makonda aka daudi bashite atakuwa amevamia studio za wcb na kumforce atunge nyimbo
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Chonde chonde j2 icjekua chungu mwaka mzima anamaanisha atakacho kifany ni kutoa ripoti kw bashite na gangstar wake wakavamie kanisa ili wamteke na kumpeleka kuckojulikana
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Hakuna lolote na hajamuogopa, hakuna la kushangaza. Kaeleza kumuelewesha inatosha.

Kafanya wengi mnayoyafanya katika maisha yenu kama binadamu pia.
 
Karai hajaomba radhi....

Kaya analianzisha....

Mfufuo hana msalie anapochokozwa.
 
Back
Top Bottom