Serikali ya CCM muangukieni Maalim Seif ili yaishe...

MWANA ileje

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
744
571
Nikutokana na kile kilichofanyika kwenye uchaguzi wa zanzibar ambao ni dhahiri kabisa ccm walimpokonya ushindi maalim seif huku wakizani waangaliz wakimataifa ni binamu zao wakuwachekea chekea badala yake uporwaji huo wa ushindi ndo kimekuwa kigezo no1 chakukosa misaada mikubwa mikubwa.....matokeo yake nchi inayumba mithili ya jani kavu mbele ya upepo
 
Hapangiwi na mtu,mtukufu huyo,ngoja ajipange mwenyewe,manake kumshauri nikama kujaza gunia maji,na unaweza kuitwa mchochezi uka ambulia kisutu,au bashite akakuteka vilevile.
 
Nikutokana na kile kilichofanyika kwenye uchaguzi wa zanzibar ambao ni dhahiri kabisa ccm walimpokonya ushindi maalim seif huku wakizani waangaliz wakimataifa ni binamu zao wakuwachekea chekea badala yake uporwaji huo wa ushindi ndo kimekuwa kigezo no1 chakukosa misaada mikubwa mikubwa.....matokeo yake nchi inayumba mithili ya jani kavu mbele ya upepo
bora ukae kimya
 
Kwa uminyaji huu huu wa demokrasia kuna hatihati yakunyimwa ARVs na Marekani hapo ndio tutakufa kama kuku sababu hiyo chanjo tu hatuwez kunnua yakutosha nchi nzima sembuse ARVs
 
~~>>>Maalim Seif zama zake zimekwisha . ... Kama chama kimemshinda ataweza kuongoza nchi??
 
Yaani Znz irudishwe kwa Masultan waliotimuliwa nusu karne iliyopita ili tu tusikose Misaada?
 
Usiwaze mkuu,gogo limeshakatika,bado kuanguka tu,hivyo vuta subra kama si leo ni kesho maalim atakuwa le prezdeli.
 
Back
Top Bottom