Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mbunge wa CUF amemtuhumu naibu waziri Hamad Masauni kushirikiana na Lipumba kuwafadhili watu wanaoteka wanachama wa CUF kuzuia mikutano yao na kupiga wanachama na waandishi
Amesema vyama vya siasa vimekubaliwa kuwepo nchini na Nyerere na wanamuheshimu na anayeona vyama vingi havifai kuwepo ni zumbukuku.
Kuna matukio 13 ya wana CUF kutekwa nyara na wamekuwa wavumilivu na hata yule aliyevamia mkutano wa waandishi walimuacha kwa kuwa ni wastaarabu, lakini Masauni anataka wamwage damu ili akifute chama hicho lakini watamnyoosha Lipumba...
Kuna wabunge walikua wakimtaka mwenyekiti amzuie mbunge huyo, huku wengine wakimtaka aendelee