Mwacha apambane NA WAKATI badala ya MUDA,HATAKUJA JUTIA KILA KITU KINA NAFASI NA NAFSI YAKE,UBABE HAUJAWAHI HATA KUONGEZA SIKU MOJA HAPA CHINI YA JUA,THINKS twice,
Wewe mtoa mada, embu jaribu kujivika uhalisia ili JAMBO KAMA BINADAMU WA KAWAIDA,watu wana maumivu yasioeleweka yataishi lini unakuja NA hoja DHAIFU NAMNA HII KWELI??A'RE RECHARGEBLE BRAIN,!!STP.
Hapa ni hivi huyo mkuu Wa mirungi mwache aendelee kutumia CHEO CHAKE VIBAYA,TIME WILL TELL VERY STUPIDITY, LEMA IS HERO OF ARUSHA,DON'T GIVE DOG DIAMONDS
Sasa Mimi nikupe ushauri Wa kiume,tafuta demu mwingine use unadate NA huyo usimwacha,ukiona upendo umeanza kupungua kwa huyo KICHECHE WAKO UNAMPITA CHINI ,The best revenge isn't surrender ,
Hata akiona usiku atakuambia ni usiku kwa sababu ya CHEO,VERY STUPID LEADER WE ARE HAVE,MAJI HAKUNA NA KAMA YAPO WATU WANATUMIA PAMOJA NA NG'OMBE ,HALAFU UNAKUJA KUMWEKA DAKTARI NDANI KISA WEWE UTAKI KUJUA REAL SITUATION LIPUMBAVU SANA,..
Wanaongeza ile idadi ya saba ruvu,hakuNA salama nchi hii,kwani wao na FAMILIA ZAO WAKO SALAMA,WAMEGEUKA MIUNGU WATU JUU YA UHAI WA BINADAMU WENZAO,MUNGU atawaona,Tuiii,endeleeni tuuu bhana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.