Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

Wakuu kule kwa wenzetu kuliwa ndogo na kula ndogo ni norm ya maisha yao ! One less faggot many to go
 
Yaah humo ndipo zimegawanyika utakuta kuna (OBE )pia kuna (MBE )na nyingine nadhani bekham ni OBE

Knight Commander or Dame Commander of the Most Excellent Order of the British Empire (KBE or DBE) Commander of the Most Excellent Order of the British Empire (CBE) Officer of the Most Excellent Order of the British Empire (OBE) Member of the Most Excellent Order of the British Empire (MBE)
 
Boy George alikuwa wa kwanza kusema yeye ni shoga hadharani na akaanza kuwataja wenzake, wengine ikabidi watoke wenyewe kwa hiari yao.
 
George Michael

George Michael mmoja wa wanamuziki maarufu duniani amefariki dunia leo nyumbani kwake.

Kwa mujibu wa meneja wake ambae ametoa taarifa mapema jumatatu asubuhi ya saa 7 kwamba George amefariki kwa moyo kusimama au "heart failure".

Familia ya George imeomba kuheshimiwa kwa faragha yao.

George Michael alizaliwa akiitwa Georgios Kyriacos Panayiotou katika kitongoji kijulikanacho kwa jina la Finchley, kaskazini mwa jiji la London, nchini Uingereza.

George alishiriki kuimba katika kundi la Band Aid kwenye kibao kiitwacho 'Do They Know It's Christmas' (1984), na baadae kushuka na vibao vingine vikali vya 'Careless Whisper' na kingine cha 'A Different Corner'.

Mwaka 2002 alitunga muziki uloitwa Shoot the Dog ambao katika video yake alikuwa akiwakebehi Tony Blair Cherie Blair na George Bush.

George ameuza zaidi za santuri milioni 100 katika maisha yake yote ya muziki katika uhai wake ulosambaa ndani ya miongo minne.

Katika miaka ya hivi karibuni George alikuwa akikabiliwa na matatizo ya ulevi wa madawa ya kulevya na pombe.
Oo madawa ya kulevya na pombe hakika karama ya dhambi ni umauti amini hivyo.
 
Knight Commander or Dame Commander of the Most Excellent Order of the British Empire (KBE or DBE) Commander of the Most Excellent Order of the British Empire (CBE) Officer of the Most Excellent Order of the British Empire (OBE) Member of the Most Excellent Order of the British Empire (MBE)
Safi kabisa umeiweka vizuri khabari hii ndio utamu wa Jf huu
 
Back
Top Bottom