Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Ni kitu gani unakipenda kwa dhati kabisa kutoka moyoni yaani ni muhimu sana kwako kiasi kwamba unaona maisha hayajakamilika bila hicho kitu au unaweza kusema huwezi kuishi bila hicho kitu. Taja kimoja tu lakini pia sio vibaya ukiongezea nyama kidogo baada ya kukitaja.
1. Pesa
2. Amani
3. Bahati
4. Mpenzi
5. Wazazi
6. Watoto
7. Akili
8. Kazi
9. Marafiki
10. Kizazi
1. Pesa
2. Amani
3. Bahati
4. Mpenzi
5. Wazazi
6. Watoto
7. Akili
8. Kazi
9. Marafiki
10. Kizazi