BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.
Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila
Awapongeza wanawake kusimamia amani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha...
🔰ILANI YA CCM NDIO MKOMBOZI WA KILIMO TANZANIA
Utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Sura ya pili ibara ya 2.1.3.1 kwenye eneo la Kilimo cha umwagiliaji, Eneo la umwagiliaji limeongezwa kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 983,466.06 mwaka 2024.
Lakini ilani ya CCM ya mwaka...
𝐓𝐋𝐒 𝐘𝐀𝐋𝐀𝐀𝐍𝐈 𝐑𝐔𝐒𝐇𝐖𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 U𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 WA 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 WA 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetoa tamko rasmi kulaani vitendo vya rushwa vinavyoendelea katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Hatua hiyo inaonyesha dhamira thabiti ya TLS kupambana na uhalifu wa kifisadi; kuhakikisha...
𝐓𝐇𝐑𝐃𝐂 𝐖𝐀𝐈𝐓𝐀𝐊𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐀𝐓𝐀 𝐌𝐈𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐘𝐀 𝐃𝐄𝐌𝐎𝐊𝐑𝐀𝐒𝐈𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐎
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhakikisha kuwa uchaguzi wao wa ndani unazingatia misingi ya demokrasia, kuachana mara moja na vitendo vya...
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.
Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama...
Ingelikuwa ni kitabu cha hadithi basi ingekuwa hadithi nzuri isiochosha yenye kuvutia sana kuanzia kwa msimuliaji na hadhira yake, lakini ni kazi tu za Mwanamke mmoja kutoka ardhi ya Kizimkazi ndani ya Visiwa vya Marashi ya Karafuu aliyeweza kubadilisha maono yake kuwa uhalisia na kubeba hatma...
Kutoka angani naliona Bwawa kubwa, liliojengwa kutoka kwenye urithi wetu wa mto Rufiji, katikati ya Hifadhi yenye jina lake Nyerere mtu wa kipekee. Naliona Bwawa lile na kukumbuka kwamba wakati Mama Kizimkazi anaingia madarakani lilikuwa 33% tu, angeliweza kuamua kuachana nalo, lakini kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuungana na viongozi zaidi ya 160 duniani katika mji wa Dubai kwenye mkutano wa kujadili jinsi ya kukumbana na mabadiliko ya tabia nchi(COP28).
Mhe, Dkt Samia Suluhu Hassan ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi ya nishati...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa...
Nchi ya Tanzania imeendelea kufungua milango ya kidiplomasia kwa Mataifa ya nje tangu serikali ya awamu ya sita ichukue kijiti. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan azidi kuonesha umahususi wake katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Mataifa yanayoendelea na yaliyoendelea. Leo anaenda kupokea ugeni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, kuweka mashada ya maua kwenye Mnara wa uhuru wa Zambia.
Rais Samia ameweka shada hilo ikiwa ni ishara ya kutoa heshima na kutambua walioongoza harakati za kuliltea uhuru...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Zambia kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu kuanzia leo tarehe 23-25 October 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema.
Katika Ziara hiyo Rais Samia atashiriki Matukio mbalimbali ikiwemo...
- Atoa mitaji kwa wajasiriamali na Wafanyabiashara wa soko hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea na juhudi mbalimbali za kuimarisha miundombinu ya Barabara na Madaraja Nchini kwani ndio kilio cha wananchi kwa sasa.
Rais Samia amesema hayo wakati akizungumza na wananchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo October 15,2023 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi Wa Barabara ya kiwango Cha lami kutoka Mkiwa-Itigi-Noranga yenye Urefu wa Km 56.9 inayojemgwa na Mkandarasi wa kampuni ya CHICO chini ya Usimamizi wa TANROAD ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.