MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
đź”°ILANI YA CCM NDIO MKOMBOZI WA KILIMO TANZANIA
Utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Sura ya pili ibara ya 2.1.3.1 kwenye eneo la Kilimo cha umwagiliaji, Eneo la umwagiliaji limeongezwa kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 983,466.06 mwaka 2024.
Lakini ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 inaahidi na kuielekeza Serikali kuboresha na kuongeza miundombinu ya umwagiliaji itakayoongeza eneo la kilimo cha umwagiliaji kutoka hekta 983,466.06 mwaka 2024 hadi kufikia hekta 5,000,000 mwaka 2030 ili kupunguza utegemezi wa mvua kwenye kilimo.
#KazinaUtuTunasongambele
#OktobaTunatikiâś…