napingana na mleta mada kwenye katiba hakuna kifungu chochote kinachosema kuwa ili AG atoe ushauri kwa serikali inabidi ashirikiane na naibu wake, kama umesikia statement ya AG amesema ushauri aliotoa.... hajasema ushauri ofisi yake iliotoa... so sioni sababu ya kumuhusisha Masaju labda km mtoa...
wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
ina maana dk salim alipokuwa waziri mkuu hakuenzi muungano ? yani mpaka igp mangu wa juzi kapewa nishani na dk salim kanyima, au kuna utaratibu maalumu kuhusu hizi nishani ?
ukawa wamefanya kosa la dakika ya 90 kususia bunge walitakiwa kubaki wapambane mpaka mwisho, ccm wanachofanya sasa ni kutafuta 2/3 bara & zanzibar wakifanikiwa kuipata watatunga katiba waitakayo wao na kitakachofuata ni kuwadhibiti kwa kutumia vyombo vya dola, na ni suala la muda tu ukawa...
Mi naona kwa hali ilivyo ukawa wamechemka sana kususia bunge wangebaki ndani wapambanane mpaka mwisho, kwa pendekezo la hamad rashid kutafuta 2/3 upande wa zanzibar & bara kama likifanikiwa ina maana ccm wataandika katiba waitakayo wao wenyewe na kitakachofuatia ni kuwadhibiti ukawa kwa kutumia...
Prof kabudi yupo sasa hivi live tbc 1 na amesema kuwa hati za muungano zililidhiwa upande wa tanganyika LAKINI upande wa zanzibar hazikulidhiwa hivyo ndo sababu wakapendekeza mfumo wa serikari 3
Mh kafulila ameongea vema tena kwa hoja nzito nadhani wajumbe wengi hasa ccm watakuwa wamechanganyikiwa coz km ofisi ya raisi ilipendekeza serikali 3 kwa nini raisi huyohuyo anatoka hadharani anadai serikali 2 ?
Pasco hasa ww ni nani ? navutiwa sana na uandishi wako unaandika hoja, huna matusi, una mpangilio mzuri wa hoja hakika utakuwa mtu mwenye IQ kubwa sana. haswa ww ni nani ?
hapana sio kweli hao ni watangazaji wawili tofauti alex ngusa yupo metro fm ya mwanza, huyo matarange alikuwa clouds fm cku hizi sjui yupo kituo gani au ameacha kutangaza kama akina george vicent sukari na joan itanisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.