Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,716
- 680
Lazaro Matarange, huyu ndiye Alex Ngusa Matarange. Au mawenge wenge yangu?
Alikuja Radio one, Akawa anatangaza taarifa kwa jina la Alex Ngusa, wakati huohuo anapiga Clouds kwa jina la Alex Matarange.
Siku hizi sijui kapotelea wapi.
aka fisadi papaaaa huyo jamaa si mchezo