Werema na Masaju wameifanyia nini ofisi yao?

duh, mmemrukia na huyo naye. hiyo ofisi mwaka huu wanalo.ll
 
Acha ukabila hapa!!! Wewe kama unazungusha mafaili endelea, wenzako wanakula kitabu na kesho atatangazwa yy (MASAJU). Kwahiyo unahitaji hiyo ofisi iwe na madawati mengi au? Werema ni mwizi (According to tumbili)ndio kashawajibika na achukuliwe hatua zingine kali. Ila suala la ww kujumuisha wengine inonesha elimu yako haijakusaidia. Mf Traffic huku kitaa wanakula Rushwa utadhani Tumbili kwenye mahindi ila c kweli kuwa kila Traffic anakula rushwa!!
 
wow, kwani masaju naye amefanya nini. kumbe ndiye atatanganzwa kuwa mwanasheria mpya?however naona kama jamaa ameongea point, inawezaje jalada la opinion likafika kwa werema bila kupita kwa masaju ambaye inasemekana ni makamu wake? masaju ni msabato na mcha Mungu pengine hata kuwa mwizi na hatataka kupigana na watu bungeni..hahahahaha. kama masaju akiwa mwanasheria mkuu ni bora tu.
 
Wajameni, sisi wengine tulishawahi kufanya kazi ofisi hiyo ya mwanasheria mkuu aliyetia aibu kuliko wote duniani. jaji werema amekaa kwa kitambo, lakini hajafanya mabadiliko yeyote yale kwenye hiyo ofisi.

makamu wake BWANA MASAJU yeye ameifanyia nini tena hiyo ofisi? yaani tuseme ule ukweli tangu wameingia kitu gani wamekiongeza kwenye hiyo ofisi ambacho hakikufanywa na mwanyika? mwanyika nakumbuka alikuwa bora sana na alileta heshima ya ofisi akapigwa majungu akaondoka. walipokuja hawa jama wawili wote wa mkoa wa MARA, ofisi imebaki kama alivyoiacha hakuna creativity hakuna lolote.

na inakuwaje rais anaweka AG toka mkoa wa Mara, na makamu wake toka mkoa wa MARA, mikoa mingine hakuna watu?

mawakili wa serikali na mapolisi tuambieni mnaofanya nao kazi hawa jamaa wawili wamefanya nini. na, MASAJU yeye kama makamu wa mwanasheria mkuu, alikuwa wapi kumshauri bosi wake werema kuhusu ushauri wa escrow? ina maana basi na masaju naye atakuwa alipokea mgao kwasababu kwa kusema ukweli, ushauri ule sio kwamba werema alikaa ofisini akautoa hapana, aliletewa na subordinate wake, yaani aliwapa watu wa chini yake wafanye utafiti na kutoa opinion, lakini cha ajabu, MASAJU amekuwa kimyaa wakati yeye ndiye aliyetoa ushauri akishirikiana na boss wake werema. hawa watu wanafanya nini kwenye uongozi wa hii nchi?

Naona umeandika kikabila zaidi
 
napingana na mleta mada kwenye katiba hakuna kifungu chochote kinachosema kuwa ili AG atoe ushauri kwa serikali inabidi ashirikiane na naibu wake, kama umesikia statement ya AG amesema ushauri aliotoa.... hajasema ushauri ofisi yake iliotoa... so sioni sababu ya kumuhusisha Masaju labda km mtoa mada anasababu binafsi juu ya Masaju. Masaju ni mcha Mungu, mchapakazi na hana kashfa yoyote ya rushwa uliza watu wa dodoma, mtwara & dar ambako alihudumu.
 
blaza punguza hasira.
halafu inaonekana hauna jipya manaa hata hujui unaloliongea
jipange maana nyongo yako ishatumbuka na taulo limekuanguka mbele ya wakwe.
 
Acha ukabila wewe!!!!!watu wenye vichwa vya ukabila ndio mnarudisha nchii hii nyuma!!!!!wewe hadi leo familia yako umeifanyia nn cha maana!!!!! acha majungu
 
Thread hii mm,sijui imeandikwa Kikurya.Next time Jitahidi.Ujumbe hauko clear sana.
Wajameni, sisi wengine tulishawahi kufanya kazi ofisi hiyo ya mwanasheria mkuu aliyetia aibu kuliko wote duniani. jaji werema amekaa kwa kitambo, lakini hajafanya mabadiliko yeyote yale kwenye hiyo ofisi.

makamu wake BWANA MASAJU yeye ameifanyia nini tena hiyo ofisi? yaani tuseme ule ukweli tangu wameingia kitu gani wamekiongeza kwenye hiyo ofisi ambacho hakikufanywa na mwanyika? mwanyika nakumbuka alikuwa bora sana na alileta heshima ya ofisi akapigwa majungu akaondoka. walipokuja hawa jama wawili wote wa mkoa wa MARA, ofisi imebaki kama alivyoiacha hakuna creativity hakuna lolote.

na inakuwaje rais anaweka AG toka mkoa wa Mara, na makamu wake toka mkoa wa MARA, mikoa mingine hakuna watu?

mawakili wa serikali na mapolisi tuambieni mnaofanya nao kazi hawa jamaa wawili wamefanya nini. na, MASAJU yeye kama makamu wa mwanasheria mkuu, alikuwa wapi kumshauri bosi wake werema kuhusu ushauri wa escrow? ina maana basi na masaju naye atakuwa alipokea mgao kwasababu kwa kusema ukweli, ushauri ule sio kwamba werema alikaa ofisini akautoa hapana, aliletewa na subordinate wake, yaani aliwapa watu wa chini yake wafanye utafiti na kutoa opinion, lakini cha ajabu, MASAJU amekuwa kimyaa wakati yeye ndiye aliyetoa ushauri akishirikiana na boss wake werema. hawa watu wanafanya nini kwenye uongozi wa hii nchi?
 
hujaona raisi amemsifu kwa uongozi mwadilifu ccm ukiiba pesa za umma au ukitoa ushauri unaoliingiza taifa kwenye hasara kama werema unapongezwa
 
kili 3 usikurupukie mada!!!!!soma kwanza uelewe!!! mtoa mada amemlenga naibu ag !!! personally !!!wewe unaleta za werema!!! kuwa ofisi moja haimaanishi naibu ag nae ana tatizo
 
Back
Top Bottom