Wanyarwanda kweli watamu (members only)

Wanyarwanda kweli watamu (members only)

" Masela wa kwangu, mademu wa platinum " huyu Jamaa arekebishe kauli yake!
 
We mtoa mada lofa, yeyote aliyeumbwa na Bwana ni mzuri. Usiharibu uumbaji wa Mola kwa kuweka vionjo vya kibinadamu.
 
!!Hapa ndion inaoneza kuelezeka zaidi ile myth ya tofauti ya muda katika uumbaji. Hawa wameumbwa kati ya Jummanne na Jumatano, ambapo muumbaji alikuwa hana uchovu wa weekend na katuliza akili kwani weekend nyingine ipo mbali kidogo. Ukitaka kujua alioumbwa ijumaa kaka ni maeneo ya mbeya na mwanza huko, muumbaji alikuwa anamalizia udongo, watu wakubwa mno lakini shape ndio mtiti.
Ha ha ha! Watu mna maneno! Ila acha kumkosoa Muumbaji. Everything He created was good & perfect.
 
Hakuna sehemu yenyewe wanawake wazuri kama Tanzania bana. Tanzania ni mwisho.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom