Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

Tbc nyumbu, wameshakata baada Prof kufunguka. Hii inafaa iwe tv ya kuuza nyanya.
 
Ha ha naona wameona prof Kabudi anamvua nguo mfalme...wamekata. Professor amechambua bila kuyumbisha maneno udhaifu wa katiba iliyopo na ujinga wa wanaong'ang'ania kuikosoa tume..du ukijumlisha na maamuzi ya UKAWA ni cheche za moto
 
TBC1 sasa, wakiona mtu anashusha NONDO wanatoka hewani, miye nipo Mza vipi huko Dar mvua inanyesha tena? Maana siku ya Tundulisu Dodoma walisema mvua ilikatisha mambo.
 
Tbc washenzi .wamekata mawasiliano .mtoa mada alipoanza tuu .kutoa mada kuhusu rasmu ya katiba wamekata .
 
Ha ha naona wameona prof Kabudi anamvua nguo mfalme...wamekata. Professor amechambua bila kuyumbisha maneno udhaifu wa katiba iliyopo na ujinga wa wanaong'ang'ania kuikosoa tume..du ukijumlisha na maamuzi ya UKAWA ni cheche za moto

Tbc-ccm tv
 
Kuna yeyote anaefahamu jinsi ya kupata mwendelezo huu baada ya tbccm kukata?....labda youtube!
 
Wameweka taarabu ndio wanachofikiria tunakipeenda haya nimekubali....uzuri ujinga wa mwenzio haukufanyi wewe kuwa mjinga. Kwa maneno ya mtaani kivyao vyao....
 
TBCCM wamezoea kuyasikia wanayotaka wao tu! Wapuuzi sana!
 
Back
Top Bottom