M Mangungo wa mwibara Member Feb 22, 2014 29 3 Apr 22, 2019 #1 Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, ulaji mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, ulaji mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,012 11,944 Apr 22, 2019 #2 Spea zitakuwepo tu mkuu na uzuri gari nyingi za mjapani zinaingiliana baadhi ya spea