Recent content by Mangunga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kachaguliwa DIT na Chuo cha hali hali ya hewa Kigoma

    mkuu naombA uniPM nambA yake huyo jamaa maana hata mm nimechaguliwA huko kigomA bt sinA kampani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kwa waliosoma advance

    hujachelewa anza kupga msuli kwa sasa maana hyo si ya mchzo unapaswa ukate topc mapema ili uwe fiti mapema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 45 udahili NACTE ufungwe, uliyeomba kozi za Afya zingatia haya

    habari wakuu?naombA msaadA wa maelezo kuhusu MATI-UYOLE:mazngirA ,ada n,k
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapA kunA helA kamA haO nec watapendA sifA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Athari za kuwa bikira

    atakuwa na roho mbaya na wivu tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fikra kuhusu watu wakimya

    wachangiaji wengi lakini wala hakuna mkimyA.wenyewe wakimya wamesoma posti na wametoka au kupita kimyakimya bila kuacha hata neno.
  7. M

    JamiiForums Tanzania EWURA wapunguza Bei ya Mafuta: Petrol kuuzwa 1,653; Diesel Kuuzwa 1,523/=

    bado kabisa wanatakiwa washushe zaidi ya hapo kwani mafuta katka soko la dunia yamexhuka mara dufu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Hatua ya kwanza ni kujiandikisha kwenye daftari la wapga kura, hatua ya pili ni kuwandoa mafisadi wote pale mjengoni mwezi wa kumi na tuhakikishe hakuna atakayerudi pale mjengoni, hii inawafanya wawe frustated na wata paralyse na mwisho wa siku tutawazika wote kwa Msongo wa MAWAZO.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wengi hawapendi kuangalia na wanachukia porn?

    Umeposti bila kufanya utafiti mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    wanatambua wazi kuwA wao syo wahusika peke yao hata mkulu anahusika ndo maana wana jeuri na wala hawajari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Capt Komba si alikuwa mwanajeshi? Mbona sikuona wanajeshi wala mizinga?

    jamaa alishastafu huko jeshn ndo maana hakupgiwA mizinga .jamaA kafa akiwa bado mbunge ndo maana askari wa bunge walishughulika kila sehemu mpaka hatua ya mwisho
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    forodhani ndo haipo tena wadau limebakI jinA tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ya Moto band ipigwe marufuku, Sasa imevuka mipaka kukiuka maadili

    ukimhoji alyeimbA wala hatajI hayo matusI,anatoA maanA nyngne kabxA.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    badalA yA kuteteA yeye binafsI ndO kwanzA anataJa watU wengne
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    kaharibu kabisa maana yake.
Back
Top Bottom