Nakuonea huruma kwani PGDE haina dili tena. Mkoa wa Iringa Manispaa na Halmashauri ya Kilolo wamekataa kuwaajiri waliomaliza PGDE ktk ajira mpya mwaka huu 2014. Kama huamini chagua kupangwa Iringa uone kama utaupata huo ualimu.
Unamaanisha nini unaposema "wanakigoma"? wewe pia unaitikadi za Ukanda na Ukabila? Epuka sana general statements, siyo wanakigoma wote ni wanasiasa kama unavyo dhani!!!
Mimi nadhani kuna baadhi yetu(Jamii forum) tunania ya uchochezi na uwongo! Hivi kweli kusema Dr. Slaa alipita kuomba kura makanisani na maaskofu kumpigia kampeni ni UKWELI? Kama ni kweli wanajamii tungependa ushahidi wa kina ili tuamini hayo madai. Nyaraka zina kurasa. Ni kuras gani na waraka...
Wanawake siku zote siyo wa kuamini. Mwanaume wa kweli ni yule anaye chukua tahadhali katika kumpenda mwanamke ili asije umizwa. Hata huyo wa pili sina hakika kama unampenda, Jaribu!:crying:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.